mtoto kuzariwa na meno humanisha nini?

sw33tboy

Member
May 24, 2011
42
4
wakuu nataka msaada mwenzenu nimeachwa mdomo wazi baada ya kumuona mke wa jilani yangu kajifungua mtoto akiwa na meno mawili mdomoni. hii hutokana na nini na inaweza kuwa na athari gani msaada plz
 
Back
Top Bottom