Kapombe mwanamichezo bora kwa lipi?!!!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Tanzania kila sekta siasa,mtu anakuwa mwanamichezo bora kwa kucheza vizuri mechi 2...nimewadhara waandishi wa tz kwa kufanya huo utumbo
 
mbona dogo sio mbaya kiivyo,anaweza,mm naona sio mbaya hawajakosea sana,kwani bro we ulikuwa unampendekeza nani kwani naamini hata wao walikuwa na list ndefu ya wachezaji wengine na mwisho wa cku wakaona yeye ndo anafaa,hvyo hawakukurupuka kaka,kuna vigezo walivitumia mjomba
 
mbona dogo sio mbaya kiivyo,anaweza,mm naona sio mbaya hawajakosea sana,kwani bro we ulikuwa unampendekeza nani kwani naamini hata wao walikuwa na list ndefu ya wachezaji wengine na mwisho wa cku wakaona yeye ndo anafaa,hvyo hawakukurupuka kaka,kuna vigezo walivitumia mjomba

Namkubari kutokana na kiwango alichonacho but hakufikia kuwa MWANAMICHEZO BORA wa jumla tena kwa michezo yote.Hizi tuzo zinajumuisha mchango uliotoa kwa timu uliochezea na taifa kwa ujumla.Sasa unijibu kama Kapombe amemfikia angalau Juma Kaseja kwa mchango aliotoa staz na simba kwa ujumla.Wangempa tuzo ya mchezaji bora chipukizi,ingekuwa sawa.
 
mi naona labda kaseja akae kwenye kategory ya kipa bora,ila kwa mchezaji bora wa ndani haijalishi kama ni chipukizi au la bado yupo juu sana,hebu basi mpendekeze wako wa ndani unayemwona anaweza kufaa kwani hata nchi za wenzetu mara nyingi sana makipa hawajumuishwi kwenye wachezaji bora,wana kategori yao maalum
 
pia fahamu kuwa yule dogo habahatishi mzee,anacheza namba zote kasoro kipa kwa kiwango kile kile,ana cfa za ziada mkuu may b kama huendagi vwanjani na humjui anachezaje
 
Mkuu Yahoo hawa jamaa wanavigezo vyao walivyotumia, lakini pia walikuwa na kategori mbalimbali, baadhi ya kategori ni kama zifuatazo: WACHEZAJI WA TANZANIA WANAOCHEZA NJE:

Henry Joseph-Soka, Mbwana Samatta-Soka na Sophia Mwasikili-Soka-Samata alichukua; MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI: Theresia Ojode- wavu (Jeshi Stars), Shomari Kapombe- (soka) SIMBA na Salum Abubakari-Azam (soka)-hapa alipata tuzo hii Kapombe; MCHEZAJI WA NJE ANAYECHEZA TANZANIA:Haruna Niyonzima-Yanga (soka), Kipre Tchetche-Azam (soka) na Emmanuel Okwi-Simba (soka)-Okwi alichukua; SOKA (WANAWAKE):

Asha Rashid-Mburahati Queens, Mwanahamisi Omary-Mburahati Queens, Fatuma Mustapha-Sayari na Ito Mlenzi-JKT; WANAUME:

John Bocco-Azam, Aggrey Morris-Azam na Juma Kaseja-Simba-Aggrey Morris alichukua na mwisho pamoja na kategori zingine zote Kapombe aliibuka kidedea,

Kwa hiyo Kaseja asingeweza kuchukua tuzo ya jumla maana hata kwenye kategori aliyokuwepo bado hakubahatika kuchukua tuzo hiyo, all in all dogo ni mzuri na kingine kilichombeba ni uwezo wake wa kucheza namba nyingi uwanjani na nidhamu pia ndani na nje ya uwanja.
 
Ngoja nikubali kutokukubaliana...maana hata babu wa loliondo alifanikiwa kuwadanganya watz wengi kuliko hawa
 
Kweli bana.Ingefaa Athumanj Iddi,Nsajigwa au Canavaro Harub mojawapo ndie awe mchezaji bora.Mchezaji
bora chipukizi angekuwa Omega.Malalamiko yangekuwa hamna na ndugu yetu Yahoo angeridhika.
 
Tanzania kila sekta siasa,mtu anakuwa mwanamichezo bora kwa kucheza vizuri mechi 2...nimewadhara waandishi wa tz kwa kufanya huo utumbo


Umekurupuka, tetea hoja acha mambo ya vibarazani,toa sababu kwa nini unapinga.na inaonekana wewe ni mnafiki huyo dogo kacheza game zote za simba na ni game 3 tu aliingia kama sub.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom