Maximo Kocha Mpya Yanga

toka alipoingia Kikwete madarakani ghafla nimeichukia Yanga

Acha ushamba Mkuu, Kikwete amekuudhi nini kinachofanya uichukie Yanga? Kikwete hajazaliwa Yanga ilikuwepo, amezaliwa akaikuta kama wewe ulivyoikuta, sasa tatizo liko wapi?
 
Coaches/team managers are hired to be fired, don't you no that?

Now I know, and that is why I have just extended my sincere caution to Maximo:He is hired to be fired; thus far his entrance door should be wide open for his speedy exit!ha
 
hata uwe fundi wa kupiga ngoma dunia nzima huwezi kumfanya mende akatike viuno!!!!kandambili hata aletwe nani kwa mnyama ni kichapo tu na ndoo habebi!
 
kabla ya maximo kuja, je tz mlikuwa mnaweza piga pasi ata 2 tu! lazima tumkubali alibadilisha soka la bongo kwa kiasi kikubwa sana!
Unazungumzia pasi tano...ni wazi kuwa hukuwahi kuitazama Taifa stars hapo kabla...Uliza game la Taifa stars na Ghana pale Nairobi mwaka 2001,pia ulizia soka lilochezwa pale Mwanza wakati wa Cecafa ya 2002.Maximo alipewa kila kitu lakini sikuwahi kuona mpira wowote zaidi ya hamasa tu.
 
Are you serious doubting what Maximo has done to our Taifa stars? Serious?:A S 20:
Can you tell us what he did specifically?Did we lift the Cecafa cup?Did we make it to the AFCON tournament?Did we make it to the world cup?Under him we only qualified for the CHAN tournament out of sheer lucky considering the way we were playing.Outplayed in all the matches...Nothing to write home about this coach considering the goodwill and resources poured into our team by then.
 
Nina mtazamo tofauti, alipokuwa taifa stars alifanya nini cha tanzania kujivunia katika historia ya soka duniani

Kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi sana niliona staz ikicheza soka zuri sana ... acha wivu lazima Simba apakatwe mwakani ! na utaona manyoya mengi tu ujue keshaliwa ! teh teh teh
 
Binafsi namheshimu sana Maximo na ndiyo maana namwonea huruma kwa mkenge anaotaka kuingizwa na Yanga. Ukweli unabaki palepale, nao ni kwamba si Yanga wala Simba wenye uwezo wa kuishi na kocha wa kiwango chake kwani uzoefu umeonyesha karibu makocha wote waliopata kusajiliwa na timu hizo wameishia kukopa hata nauli za kurudia makwao. Hizi ni klabu za kiswahili swahili zilizosheheni wachumia tumbo na waganga njaa. Anayebisha asubiri aje, aanze kazi na waswahili hao, kisha apoteze angalau mechi moja tu na Simba uone vituko atakavyofanyiwa.
 
Can you tell us what he did specifically?Did we lift the Cecafa cup?Did we make it to the AFCON tournament?Did we make it to the world cup?Under him we only qualified for the CHAN tournament out of sheer lucky considering the way we were playing.Outplayed in all the matches...Nothing to write home about this coach considering the goodwill and resources poured into our team by then.

So, wewe unaangalia kulift tu cups, huh? Do you remember alivyotukuta tulikuwa tuna-rank wa ngapi Fifa? na alituacha wa ngapi na sasa wa ngapi? I now believe that We Tanzanians are so hard to appreciate. :angry:
 
So how do you measure success in football?Tatizo haujui historia ya mpira wa Tanzania,inaonekana wewe ni mmoja wa watu walioanza kushabikia mpira kwa ile 'homa ya Jk' ya 2006.kwa taarifa yako Maximo pamoja na kuwa kocha ambae alipewa kila aina ya support bado hakufanya lolote la ajabu...we have seen better results.Hakutukuta kwenye our worst FIFA ranking na wala hakutupeleka kwenye our best ranking.Jiulize kama ni kocha mzuri mbona toka atoke huku kwetu zaidi ya miaka mitatu sasa hajapata timu mpaka anataka kurudi kwetu?
 
Kudadeki lazima simba wapakatwe chezea pesa wewe.Manji tunakutakia maisha marefu.Ubingwa wa Afrika huo unanukia
Yanga ikipata ubingwa wa Afrika, ni fahari kwa Tanzania, lakini ikiifunga Simba ni fahari yao peke yao na itakuwa wamelipiza kisasi tu.
 
So, wewe unaangalia kulift tu cups, huh? Do you remember alivyotukuta tulikuwa tuna-rank wa ngapi Fifa? na alituacha wa ngapi na sasa wa ngapi? I now believe that We Tanzanians are so hard to appreciate. :angry:

hapa hatupo kuangalia lank tunachota nivikombe katika kumbukumbu zangu huyu max ndie tulie mzomea. nahivi mnavyo jua kurusha ngumi yetu macho
 
Back
Top Bottom