Recent content by Suzy Elias

  1. Suzy Elias

    Rais Samia ampigia simu Makonda amtaka achape kazi

    ".....Nakufuatilia sana na upo Kilimanjaro. Habari za Machifu pia nimezisikia. Mwenezi chapa kazi na nipo nawe pamoja na Wananchi nipo pia nanyi kuwatumikia." "...Endelea kutatua changamoto za Wananchi." Rais Samia. ========================= For English Audience As Makonda was continuing...
  2. Suzy Elias

    Makonda: Iwe mwisho CCM kutegemea wasanii kujaza watu kwenye mikutano

    "...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa kutekeleza sera na kwalo itawavutia Wananchi kuja kuwasikiliza Viongozi wa chama. NDIYO MAANA MIMI...
  3. Suzy Elias

    Ushawishi wa Makonda ni mbingu na ardhi na wa Nchimbi

    Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi. Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo. Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala...
  4. Suzy Elias

    Ni wazi Rais Samia kazidiwa ujanja na aliowaamini

    Sukari bei juu! Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero! Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao! Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki! Nishati ya mafuta bei juu! Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao! Mfumko wa bei...
  5. Suzy Elias

    Hivi CCM huwapa nini Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na kupelekea wao kukaa kimya hata pasipobidi!?

    ....mashariki ipi ya Congo, maana, hata huu mda nipo kwa hawara yangu hapa Bukavu. Ama unamaanisha Kamanyor/la, Butembo, Benii ama Goma!?
  6. Suzy Elias

    Hivi CCM huwapa nini Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na kupelekea wao kukaa kimya hata pasipobidi!?

    Hilo ndilo swali huwa najiuliza siku zote. Wazi huwa yapo mambo mengi ambayo kwa macho ya kawaida kabisa, huhitaji Vyombo vya Dola viikemee Serikali inayoongozwa na CCM kwa kuhatarisha usalama wa Taifa. Ajabu wala hawajishughulishi! Mbaya zaidi, CCM hutumia sababu ya machafuko kama silaha ya...
  7. Suzy Elias

    Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

    CCM ya Magufuli ujinga wote huo ulikomeshwa ajabu tulimzodoa sasa acha tuisome namba.
  8. Suzy Elias

    Ukweli ni kwamba PM Majaliwa amenyimwa uhuru wa kufanya kazi

    Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!? Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali. Na siye Kassim aliye ogopewa na Watendaji wazembe wa Serikali. Kwa hakika, Majaliwa kapoa kawa wa...
  9. Suzy Elias

    Emmanuel Nchimbi atalipa kisasi

    ....unazo ndoto ya Katiba mpya kwa Utawala wa CCM ya sasa? Pole!
  10. Suzy Elias

    Emmanuel Nchimbi atalipa kisasi

    ...inayo lakini ni fiche.
  11. Suzy Elias

    Emmanuel Nchimbi atalipa kisasi

    ....na huenda ikawa kinyume chake pia, zingatia!
  12. Suzy Elias

    Emmanuel Nchimbi atalipa kisasi

    Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti! Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye...
  13. Suzy Elias

    James Kabarebe anaaminiwa na Kagame na anatajwa kuwa mrithi wake

    ....kuwa makini na jifunze kurejelea historia ili uwe na weredi wa kubisha kwa mantiki. Kwa taarifa yako, mosi; James Kabarebe hajawahi kuwa mkuu wa Kikosi cha Waasi wa M23 hata siku moja. Pili, James alihudumu kama CDF wa Congo DR kwa kuazimwa akitokea RDF.
Back
Top Bottom