Recent content by Suzana Alfred

  1. Suzana Alfred

    Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    Weeee 20220604 au nimeona tofauti hizo tarehe hapo. Hahaha jaman jaman watu washapiga tayari.
  2. Suzana Alfred

    Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] akaenda mbugani?
  3. Suzana Alfred

    Pindi Chana: Nimesitisha usafirishaji wa wanyamapori mpaka nitakapopata taarifa kamili

    Naunga mkono Kamati ya mweka hazina [emoji870]
  4. Suzana Alfred

    Hivi upi ni uchumi endelevu kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama?

    Kuna watu mnawashwa washwa magufuli voice [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Suzana Alfred

    Kama ilivyokuwa kwa Diamond Platnumz, Joti naye achukuliwe hatua...

    Naona sheikh wa mkoa hajaiona Sheikh Alhad pitia kwa jtv [emoji1787][emoji1787][emoji2]
  6. Suzana Alfred

    Jamani acheni kukosoa watu na kuwakera hamchokagi

    Wanaume wakiamua kunyosha asee utanyooka tu utake usitake yaaani heeeee.
  7. Suzana Alfred

    Mwijaku apona kesi ya kusambaza picha za utupu, mashtaka yashindikana kuthibitishwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Suzana Alfred

    Macho yangu yamepoteza nguvu ya kuona karibu na mbali

    Nenda mvumi hospital Then Dawa za asili.
  9. Suzana Alfred

    Ushawahi kwenda kwa mganga wa kienyeji ili upate mpenzi?

    Hufanikiwa sana Tena usikute wale wa kuosha Unaoshwa ukitoka Nje unawakaa acha acha kabisa.
  10. Suzana Alfred

    Aliyetuhumiwa kwa ubakaji watoto 24 Arusha siyo ustadhi

    Wewe sio muislam acha porojo zisizo na maana watu wanaandika vya maana kwa uchungu we unaleta upambe wa dini. Wewe si muislam. Labda muislam jina.
  11. Suzana Alfred

    Msaada: Nimepotelewa na Vyeti vyangu halisi vya taaluma

    Mchakato wake unaufaham mkuu ayayaa ni shidaaa.. Inafikia mahala hawatoi wanakuambia kaombe kazi sie tutatuma ushahidi wa vyeti kwa email. Bora hata hivo vya chuo lakin vya o level pana mtihani si kitoto.
Back
Top Bottom