Jamani acheni kukosoa watu na kuwakera hamchokagi

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,841
Reaction score
25,359
Hivo kwa nini mtu akitoa post yake mnamponda nakutoa maneno mabaya raja yenu nini?
A. Hatujawaomba uoe wanawake wasiowapenda wasiowadhamini au wanaume wasiowadhamini maana ndio stress zipo hapo.
Halafu humu mnakuja kutuadhibu kwakushindwa kuhimili maisha yenu.

B. Hamjapata wakuwaridhia mmepata wakuwatumia basi humu full keroo unajibu anyhow ila hujaombwa ukose gagamaa uoe .

C. Huna wakumnywea maji basi mnakerana tu wala hamna hili wala lile .
Ukija huku kerooo . Unawaletea wenzako.

D au vyote kwa pamoja unajikomba kila mahala .
Hadi kerooo.

Watu humu hatujawatuma sio mnakomment upuuzi masaa yote.
Nakuwakwaza wenzako ukijibu ujinga usijione poa kisa hamuonekani sio poa ni kerooo.
Wenzako wanahitaji support nzuri wewe unamkwaza eti unajidai mchambaji wapi wewe ni mwanadamu kama yeye toa ushauri mzuri sio ushauri mmbaya .
Good day .
 
Unatukwaza na post zako
 
Mwanaume kibonge hapendezei kuwa na mwanya. Anakuwa kama mtoto mwenye kiribatumbo

hiyo A
mdhamini kwani tuko bank?

halafu chukua togwa nakuja kulipia pozesha hiko kipigo ulichopewa
 
Back
Top Bottom