Recent content by Suzan Wilbard

  1. Suzan Wilbard

    Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

    ooh kumbe eee ahsante dear Sent from my TECNO M3 using JamiiForums mobile app
  2. Suzan Wilbard

    Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

    hiyo ya kusimama naked kwa kioo ndy nafanyaga
  3. Suzan Wilbard

    Zijue faida 5 za kulala uchi (naked)

    me napenda sana na ndy huwa nalala hivyo
  4. Suzan Wilbard

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    no usiache pls me tv imembovu so nafurahia kupata updates from you sweetheart pls dont go .....[emoji8] [emoji8]
  5. Suzan Wilbard

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    gabriel huwa ananifurahishaga sana ... ka aphiwe kapo vizuri
  6. Suzan Wilbard

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    nina kaliwa na linc na Gabriel pia
  7. Suzan Wilbard

    Baada ya Audio kuvuja, Tunda Amlipua Steve Nyerere

    acha wapambane na hali zao me yangu macho tu
  8. Suzan Wilbard

    Kwanini hizi simu zinawahi kupoteza ubora wa camera?

    nitajuaje copy na original kwa kifupi tecno ni kichefuchefu tu inatia hasira sanaa gharama nyingi nshapoteza
  9. Suzan Wilbard

    Baada ya Audio kuvuja, Tunda Amlipua Steve Nyerere

    me nataka kuwa wapinzani walisema ccm wakiwapa hela pokeeni lkn chumba cha kupiga kura utakuwa peke yako.. so hela haihusiani na chochote steve karopoka tu kn hela nishachukua
  10. Suzan Wilbard

    Kwanini hizi simu zinawahi kupoteza ubora wa camera?

    Me binafsi sizipendi kbs tecno kwanza mbovu me nimenunuliwa nikaletewa tecno m3 libovu tu ukifungua facebook inazima mmxxiuuuu lkn kwa akili yangu sinunui tecno ishanitesa sanaa......
Back
Top Bottom