Recent content by Susuma

  1. S

    JamiiForums Tanzania Balozi wa China nchini Dr. Lu aagwa rasmi

    Prof. Muhongo akifanya mazungumzo na Balozi wa China Mhe. Dr.Lu leo tarehe 05.09.2017 wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi huyo anayemaliza muda wake wa kuhudumu nchini Tanzania. Lengo la mazungumzo hayo ni kumshukuru kwa misasda aliyoiyoa kwa wananchi wa Jimbo la Musoma Vijijini na kumpongeza...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Balozi wa China nchini Dr. Lu aagwa rasmi

    Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo akimkabidhi zawadi Balozi wa China Mhe. Dr. Lu Youqing wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi huyo, anayemaliza muda wa utumishi Kama Balozi wa China nchini Tanzania. Aidha, Mhe. Muhongo alipata nafasi ya kufanya mazungumzo kwa Lengo la kusaidia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wakimfuata nyuma Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali Andrew Chenge (MB) kumhoji

    Wasanii watoa album mpya ya makinikia Cheche kiboko, yaani kila kashfa zote Kuu za Tanzania, ameshiriki, yupo, yupo na ataendelea kuwepo. Kasha ya Rada alikuwepo, Yupo Kashfa ya akaunti nje ya nchi alikuwepo, yupo Kashfa ya CCM kupeana vyeo kwa kubebana alikuwepo, Yupo Kashfa ya mafisadi...
  4. S

  5. S

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mbunge wa Kibamba, John Mnyika akwaa adhabu kwa utovu wa nidhamu

    MNYIKA na wenzake wanafanya retirement ya fedha walizochukua ACACIA
  6. S

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    HUJUMA NZITO KWA SERIKALI YA JPM KUTOKA GAZETI LA JAMHURI Wa ndugu hivi karibuni tumejionea Gazeti la Jamhuri likiandika habari za kichochezi Kuhusu Wizara ya Nishati na Madini. Dalili hizo zilianza tarehe 23/5/2017 walipotoa taarifa kwenye Gazeti Lao kuwa "WAZIRI APIGA DILI" ukisoma humo ndani...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM kufukuza Wanachama 11 wakiwemo Vigogo hawa 3

    HUJUMA NZITO KWA SERIKALI YA JPM KUTOKA GAZETI LA JAMHURI Wa ndugu hivi karibuni tumejionea Gazeti la Jamhuri likiandika habari za kichochezi Kuhusu Wizara ya Nishati na Madini. Dalili hizo zilianza tarehe 23/5/2017 walipotoa taarifa kwenye Gazeti Lao kuwa "WAZIRI APIGA DILI" ukisoma humo ndani...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Manchester United mabingwa Kombe la Europa

    Liver Nje
  9. S

    JamiiForums Tanzania MAWIO: Acheni kupotosha umma kuhusu Prof. Muhongo kupandisha bei ya umeme

    Hao ndiyo waandishi wetu, mbona taarifa ilitolewa long time. Halaf hao TANESCO si wana miradi mingi ya umeme wanajenga , labda watuambie wataimaliza lini.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa rais Korea Kusini Park Geun-hye 'kukamatwa'

    Hii itakuwa funzo kuu kwa Watawala
  11. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

  12. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

  13. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

    KUMBE MWANANCHI YUPO NYUMA YA MAFISADI SIJUI KAMA NCHI HII KUNA MTU ATAPONA, JPM ANA KAZI YA ZIADA, KUMBE HUMU NDANI WATU WANAANDIKA HADI KUTOKWA NA MAPOVU WAMELIPWA NA WENGINE WALIKOSA TENDA HAPO NISHATI NA MADINI TUWACHAMBUE WASEMAJE WA LEO WANAOSHABIKIA EWURA KUPANDISHA BEI YA UMEME BILA...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo alivyoshiriki kupandisha bei ya umeme

    Hata huyu the Uknown tunajua amevuta, ulitaka ushahidi gani? Kila Mtu anajua Muhongo hataki bei ya umeme ipande, Kama wewe umetumwa na hao walioandisha bei ili umtukane aliyekataa kupandisha Basi endelea na upumbavu wako, waandishi wengi walikuwa wanamuuliza muhongo kuwa mbona EWURA na TANESCO...
Back
Top Bottom