Kwa hiyo kama wao walifumaniwa ni sawa na yeye kuiga tabia zao kwa sababu wao walifumaniwa?Cha msingi ni kuangalia wapi tumeanguka au nini tufanye tujisafishe,ugumu wetu CDM ni kama siasa za mpira wa TZ hatutaki kusikia kukosolewa,anayetukosoa ni ADUI yetu mkubwa,CCM wamefika hapa walipo kwa...
Nimekuwa nikifatilia sehemu nyingi za ushindani,kila anayeshinda anasema haki imetendeka iwe kwenye Siasa au mpira.mkifungwa au kushindwa haki haijatendeka.Chadema walipoteza arusha haki haikutendeka,sumbawanga haki imetendeka,segerea haki haikutendeka,ubungo haki imetendeka.
Huko ni kumpoteza nassarii,kuomba msamaha sio utoto ni kuonesha uungwana wako,ukikosea usikimbilie kufafanua,kama kauli yake ilikuwa na maana sahihi why mbowe aliifuta palepale?tuache ushabiki wa kitoto tutaipoteza chadema,tunatakiwa kuwa wasikivu,hivi unajua kiasi gani watu wa...
Ni heri ungenyamaza kimya kuliko statement yako ambayo haijitoshelezi,haielezi maana ambayo imepotoshwa ni ipi na uzuri mwenyekiti wako alifuta kauli yako palepale kwahiyo yeye ndio alianza kupotosha ukweli?why aliikana kauli yako?
Mkuu mbona haumalizii maamuzi ya kesi yalikuweje kwa sababu kuwa na kesi ni sehemu moja na hukumu ni sehemu nyingine, wapo wanaofungwa kwa kusingiziwa. Tuache majungu na ufinyu wa kufikiri
kwanza nianze kwa kusema haya ni maoni yangu.Nassari ni mmoja wa makamanda vijana wanaochipukia,ukweli wewe ni mfano kwa vijana wengine.Nataka nikukumbushe na ujue CDM sio ya kaskazini,siyo ya wameru,siyo ya wachaga ni ya watz wote na ndio maana ipo kila kona,leo kusema arusha mtajitenga na wewe...
Tatizo tunapenda sana kulalamika,kukatika mawasiliano kuna sababu nyingi zipo za kiufundi pia,ukweli leo sijaona tatizo la kukatika mawasiliano,zitto kaongea hadi kamaliza,acheni kulalamika bila uchunguzi
Huo sio wizi mkuu,hii huduma inaitwa Voice mail na inawekwa na mwenye simu akiwa hapatikani kama vile wakati amezima simu yake au ipo busy,ni sawa na kumpigia simu,hivyo unatakiwa kuacha ujumbe wa sauti na yeye akiwasha anakuta ujumbe wako.Tatizo letu humu JF wengi ni vilaza tumezoea kulalamika...
Tikatika bado mchanga sana kuchambua hoja,hapa swala lilikuwa figures kukosea majina sio issue,nimekubali kukosolewa kwa sababu kwako issue ni jina na sio figures.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.