Hawa wanafaa uwaziri mkuu Pinda akianguka...

Sita ni fisadi wa kichinichini ambao ni ufisadi mbaya kuliko ufisadi wa kiwazi wazi. He is too emotional anaweza kuwa ni mtu wa visasi. Pia Sita ni mropokaji mzuri!. Magufuli ni mbinafsi sana, ameweka mbele sana u-mimi na ni mtu wa masifa, full kujikomba kwa JK ila ana risk ya kuwa dictator!. Waziri mkuu bora ni mmoja tuu!. The One and Only..,!, malizia mwenyewe!.
Our beloved na mpambanaji wa kweli na mzalendo wa kweki mwenye uchungu na nchi yake. Si mwingine nawaletea kwenu Mh Deo Filikunjombe.
 
Katika Mtu ambaye hafai kuwa Waziri Mkuu ni Magufuli..tatizo lake kubwa ni ubinafsi..Huyu tukimpa anaweza kuhamishia Makao Makuu nchi kutoka Dodoma kwenda pale Chato. He is not a good listener...! Naye yeye ni mmojawapo wa wezi wa mali za umma..
 
Bora Deo F..huyu angalo..anauchungu na nchi yetu..ila namshauri 2015 ajiunge na wadua wa ukweli..
 
Nadhani kwa uzoefu tulioupata kwa Mawaziri Wakuu waliopita wa kuwa badala ya kusimamia maslahi ya nchi wamekuwa wakiendesha siasa za uwogo kumsaidia Rais na watu wachache kufaidi nchi, na zaidi ya hapo tangu Pinda alipoingia madarakani ni kama nchi imekuwa haina Waziri Mkuu kwa kuwa kila kitu Rais ndiye mwamuzi, sidhani kama tunahitaji kuchagua Waziri Mkuu mwingine ni vyema tu Rais akapewa pia jukumu la kukaimu Uwaziri Mkuu hadi hapo mambo yatakapo badilika kwa maana ya kuwepo utawala wenye maono Tanzania.
 
Nashawishika na mwanri anauwezo japo suala la kuwa naibu wazir linamfanya tusimjua kwa ukamilifu, bt the guy is very serious ktk kufuatilia na kusimamia jambo.
 
Pole sana kwa utafiti wako finyu.Kama wamekutuma kupima upepo basi waambie upepo uvamao sasa ni wa Kusi, ukivuma kutokea mashariki kuelekea Kusini.Inshort Magufuli does NOT FIT and will never fit to become a PM.Ni mtu wa jazba na visasi vya kike na zaidi ya yote ana maamuzi ya kukomoa na kukurupuka.Amejaa kejeli na kauli chafu zisizo na utu.HAFAI.Sitta ni mnafiki,amepoteza sifa baada ya kuficha ukweli ktk sakata la RICHMOND.Kwa hili hasafishiki kamwe hata akinywa sabuni ya OMO.:target:

mkuu salute
 
The only one who can is his excelence agrey mwanri-deputy minister tamisemi...jembe lenye makali lisiloonekana, serikali za mitaa zinamwogopa kulio hata raisi..hadanganyiki..apewe muone..watu wataondoka ofisini wenyewe kwa kujitathimini wenyewe
 
mpeni sifa zake kabla hajafa magufuri kajitahidi kuliko wengine bana hata kama anasifa si hilo kwetu si tatizo cha msingi afanye kazi aliyopewa hata kama anakula lakini anajitahi acheni maneno mtu akifa utasikia magufri mzuri kwa mawaziri wa sasa
 
Nafikiri, swala si nani anafaa kuwa next pm kama yatatokea yakutokea. Tatizo ni mfumo mzima wa uongizi hapa nchini ndio unahitaji mabadiliko. Tusipo jaribu kuufanyia mabadiliko chanya, tusitegemee kitu kipya hata kama kila kingozi atatolewa na kuwekwa mwingine.
 
magufuli ndio chaguo sahihi .tatizo kikwete hataki kufunikwa.!
 
Kwa hali ya uzalendo , uzoefu na misimamo waliyonayo katika kazi zao na katika kusimamia masilahi na mali za taifa dr magufuli aka mzee wa kauili kali ni mtu anayeweza kuwa waziri mkuu akaweza kuwabana watafuna fedha za uma.mtu mwingine anayeweza kufanya kazi hiyo ni mzee sita .

Umetumia kigezo kipi? kumuhonga Kimada wake wa nje nyumba ya serikali au uwezo wa kukariri takwimu za samaki,barabara?
 
Kwa hali ya uzalendo , uzoefu na misimamo waliyonayo katika kazi zao na katika kusimamia masilahi na mali za taifa dr magufuli aka mzee wa kauili kali ni mtu anayeweza kuwa waziri mkuu akaweza kuwabana watafuna fedha za uma.mtu mwingine anayeweza kufanya kazi hiyo ni mzee sita .

Tunatumia vigezo vipi kupendekeza waziri mkuu. Bila vigezo Tangible na Intangible kila mtu atakuja na la kwake. LUSINDE VIPI?
 
Hawa wote hawafai, lakini Kidooogo huyo Mama wa makazi ana hitoria, nadhani anaweza, kama ana dosari naomba ufafanuzi
 
Sita ni fisadi wa kichinichini ambao ni ufisadi mbaya kuliko ufisadi wa kiwazi wazi. He is too emotional anaweza kuwa ni mtu wa visasi. Pia Sita ni mropokaji mzuri!. Magufuli ni mbinafsi sana, ameweka mbele sana u-mimi na ni mtu wa masifa, full kujikomba kwa JK ila ana risk ya kuwa dictator!. Waziri mkuu bora ni mmoja tuu!. The One and Only..,!, malizia mwenyewe!.
Pasco bwana yani umevunja vunja thread za watu!mwisho umeshindwa kumalizia ya kwako!!Haya bwana ni style ya uandishi!

Kumbukeni na kauli za magufuri za kibabe,vipi kiongozi wa nchi unaweza waambia wananchi wako wasio na uwezo for 300tsh wapige mbizi?
That's why mkuu wa kaya ya Temeke alimwita wa kuja!
Anakashifa nyingi hawezi na nimbabe akiwa PM maandamano yakupinga utawala yatakuwa mwisho!

Hakuna mwana ccm anayefaa hata kidogo! You might think he can but the problem is Magufuli! The system is the matter! Kila kitu kinaendeshwa kwa personal interest za baadhi ya watu na sio za wananchi!
Mimi ningekuwa nachagua naweza kupendekeza haya majina Chrisopher Chiza na Naibu wa mambo ya ndani.
 
Kwa hali ya uzalendo , uzoefu na misimamo waliyonayo katika kazi zao na katika kusimamia masilahi na mali za taifa dr magufuli aka mzee wa kauili kali ni mtu anayeweza kuwa waziri mkuu akaweza kuwabana watafuna fedha za uma.mtu mwingine anayeweza kufanya kazi hiyo ni mzee sita .

kwanini usiseme anaefa kuwa rais kama jk akianguka kwani yeye ndo chanzo cha maovu yote haya
 
Back
Top Bottom