Recent content by suramlamu

  1. suramlamu

    Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere! Or Am, I Wrong!?

    ..khaaa!! ibada tena!? Mbona aya mambo yanachanganya ivi kuna nini kimetokea nchi hii ebu mtujuze sie wanyonge
  2. suramlamu

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    ...hakika mkuu kumtangazia kiongozi mkuu wa nchi uzushi wa namna hii nisawa na uhaini...sheria ichukue mkondo wake ili iwe fundisho kwa wapumbavu wengine
  3. suramlamu

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    ..wee usiombee jambo hilo sisi wanyonge tutapata tabu sana miaka 60 yote hakuwai kutokea mtu wakutusemea kututetea na kutujali nchi ilikua mikononi mwa majizi ya kila namna..eee mola wangu ibaliki nchi yetu rais wetu na wananchi wote.Amina
  4. suramlamu

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Bwana ni mwema wakati wote naamini jemedali wetu wa vita yuko salama kabisa
  5. suramlamu

    Uniite Mpumbavu halafu Katika Matokeo Nikutangaze Wewe?

    ..kama alikua mpumbavu aliteuliwa na nani?...si tulitangaziwa wateule wote walipita kwenye mchujo kwa miezi mitatu!! ivi jamani mtoto akiwa mpumbavu baba yake huwa anakua nani
  6. suramlamu

    Uniite Mpumbavu halafu Katika Matokeo Nikutangaze Wewe?

    ...wananchi wengi hawajielewi njaa uoga na unafiki + umasikini ndio unaowapumbaza ndio maana wanaitwa wapumbavu wanapiga vigelegele kutukuza upumbavu wao....hakika ni wapumbavu kweli!!
  7. suramlamu

    Ndio tumefika, mahali hapa!

    Mimi ata wakija na polisi na pingu sijiandikishi kamwe
  8. suramlamu

    Serikali yatangaza kuongeza Muda wa kuandikisha wapiga kura hadi Oktoba 17

    hahahaaaa nikajua wanasema na msosi utakuepo kama no hivyo siendi haiwezekani tukichagua mnasema tunachagua hovyo hovyo sasa uwanja wenu jichague kwa roho safi
  9. suramlamu

    Kaliua: Watumishi wa serikali wanalazimishwa kujiandikisha!

    Hii inaitwa mnyonge kagoma kuelewa somo la mkuu wa wanyonge
  10. suramlamu

    UKIMWI unavyotafuna vijana

    Asante ila Nina amani na furaha sana.kuliko anaepima kila mwezi utazani atakufa
  11. suramlamu

    UKIMWI unavyotafuna vijana

    Nitakasirika sana ikiwezekana nitaenda kuwashitaki maana wanakale ka rugha kao eti baada ya miezi 3, uje upime tena. Sasa icho kitu ndio sikitaki kabisa kukisikia. Wife wangu akiwa mjamzito uwa ananiambia kakutwa yuko safi kwaiyo namie najua Niko safi. Nitaenda kipima kwa hiari yangu siku dawa...
  12. suramlamu

    UKIMWI unavyotafuna vijana

    hahahaaaa ilo tatizo linawakumba wengi mi niliwai kupima 2014 nikakimbia majibu sasa nasubili mpaka dawa ipatikane ndo nikapime. Kwanza sina history ya kuugua hovyo hovyo kwaiyo Niko safi
  13. suramlamu

    UKIMWI unavyotafuna vijana

    hahahaaaa nikijua alieshiliki kunipima bila hiari yangu lazima undugu ufe kama ni Dr nikipona lazima nipite na mkewe au mwanae
  14. suramlamu

    UKIMWI unavyotafuna vijana

    Mimi nilikwisha vunja uchumba Mara 2 kwa issue za kulazimishwa nikapime. ivi napima ili iweje kwamba nikikutwa nimenasa napewa dawa napona au ndo kupeana mavidonge ya homa ya ini alafu tunadangwa eti zinarefusha maisha kwa wagonjwa was ukimwi. Mara nyingi ma Dr wanachanganya majibu anakupa...
Back
Top Bottom