Recent content by SURA SIO SOHO

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua headlines za magazeti ya chama kesho zitakuaje

    "Lema shababi kwa CCM" Litaandika gazeti ambalo sio huru la kila siku la UHURU
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Bandari asimamishwa kazi!

    Waziri wa uchukuzi amemsimamisha mkurugenzi mkuu wa Bandari-TPA NDG Ephraim Mgawe pamoja na wasaidizi wake wawili kwa tuhuma mbalimbali zinazowakabili... wengine waliosimamishwa kazi ni meneja wa mafuta ya ndege kurasini,meneja wa JET NA meneja wa OIL TERMINAL Kutokana na kosa la kupotea mafuta...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Special resolution in TANESCO

    Hatimaye aliyekua mkuu wa shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Arudishwa kazini. habari ni uhakika kutoka kikao kinachoendelea kati ya PAC, WIZARA NA BODI YA TANESCO. seems huyu Eng alihujumiwa kisiasa. My quote. Kuna haja ya kuwa na bodi kama hii
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hatimae Sabodo achangia harusi.

    ndoa ya rais wa tano wa jamhuri kaka. Wewe unataka iwe ya kimanzese. Tunakula heinkein tu. Tbl hawez supply kitu, tunaagiza kwa mzee mabibo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ungependa kitu gani kiwemo kwenye katiba mpya?

    [QUOTE=binti ashura;3707636]ndugu zangu ni muhimu sana wote tushiriki katika uandaaji wa katiba mpya! itakuwa jambo la muhimu sana iwapo kila mwananchi mwenye ufahamu atoe mchango wake wa mawazo ili katiba itakayoundwa isiwe na vilakavilaka. mie ningependekeza hata kama wewe unanafasi fulani...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ngeleja, Tulikupenda zaidi na tutakukumbuka sana

    Nimegundua hapa jamvin wanajamvi wengi ni maskini. Na sifa kubwa ya maskini ni kubweka. Mtabweka sana. Mwenzenu keshavuna.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati na Madini

    Kabla ya kuteuliwa alikubali. Anajua madhara ya siasa za bongo. Cio ishu utoh atamlinda.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Mbozi atangaza kujiuzulu!

    Kateuliwa mbatia
  9. S

    JamiiForums Tanzania Katiba inamruhusu JK kumpa Ubunge Mbatia

    Ikitokea tutajua cha kufanya
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Usa River auwawa kinyama

    Kweli siasa noumer. Acha niendelee kuchunga kondoo wangu kanisani.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hawa wanafaa uwaziri mkuu Pinda akianguka...

    Labda agrey mwanry
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Rip kanumba, ila kama ni kweli ulikua unagombania nanihiiiii. Mungu akurehemu
  13. S

    JamiiForums Tanzania hukumu kesi ya lema

    Lema is out of Parliament " Jaji ndo amemaliza kusoma hukumu muda mfupi uliopita" ni vilio, vurugu vimetawala. ntaendelea kuwajuza
  14. S

    JamiiForums Tanzania hukumu kesi ya lema

    Lema is out of Parliament " Jaji ndo amemaliza kusoma hukumu muda mfupi uliopita" ni vilio, vurugu vimetawala. ntaendelea kuwajuza
Back
Top Bottom