Recent content by supper Bray

  1. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa kwenye Corona Mdhibiti Makonda, Ni jambo linahusu uhai

    Aise nimecheka hadi mbavu zinauma.Eti ana ulimi mzito kama wa kitimoto! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ladies: Hii ndio njia ya kumnasa bwanako ili asikuache milele. Acheni kuwalalamikia wanaume 😪🤧🤕

    Hakuna mwanamke asiyependa hela hata kama anafanya kazi ya kumpatia mipesa mingi lakini atataka ya kupewa na mwanaume Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

    Aise kuna watu wana maneno ya kukera haswa,eti usifananishe wanawake wanene na hizo taka taka.Huyo takataka unaweza kumuumba wewe? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nilivyoingia gerezani kumtoa Mtanzania mwenzangu Afrika Kusini

    Tutulie tuliiii Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utu uko wapi?

    Mbona sijaelewa kabisa wenye uelewa mkuje Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nabii Mkuu Geo Davie: Mchagueni Magufuli, acheni ushabiki

    Kama tuache ushabiki wa vyama hili la kura tumpe Magufuli limetoka wapi? USITUPANGIE. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu wanalia kisa mapenzi

    Na usiombe huo wakati ufike maana hata unaweza ukajimaliza Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Katika watu ambao siwaelewagi chini ya hili jua ni wa aina yako.Hivi wewe ni JINSIA GANI? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukuta nini kwenye chumba cha boyfriend wako ukajuwa mko wengi?

    Hahahahaa nimejikuta nacheka kama mazuri vile. Mungu utupe mwisho mwema kwa kweli. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kili marathon

    Muacheni mzee afurahishe macho yake kwani mboga kitu bwana? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nipo njia panda juu ya mahusiano yangu

    Haki ya nani huyo mwanaume kiboko kaficha ushahidi wote ili aonekane single. Hahahahaa noma sana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom