Hivi kuna watu wanalia kisa mapenzi

Wewe Una tatizo ..unaona kawaida sababu hujui Una tatizo..nimewahi soma threads zako za zamani unaonekana uko abused emotionally..

Maisha yote ya binadamu mapenzi ni kitu muhimu sana
Na hapa simaanishi sex..
Mapenzi na watu kiujumla ni kitu kikuubwa
Mapenzi Kwa familia
Mapenzi Kwa marafiki
Mapenzi Kwa co workers or co students..
Ukiona mtu anaponda mapenzi jua ameshakuwa victim wa abuses
Love is a good thing
 
Hata kama watu wamemind ila mi kina kitu nimejifunza kupitia uzi wako.

''Pia yatupasa Tukumbuke hakuna mtu anayeweza kumcontrol mtu mwingine, kamwe hatuwezi kumfanya mtu aishi tunavyotaka sisi.''

Ukienda tofauti na hiyo quote hapo juu lazima ulie kwenye mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kumcontrol mtu mzima ila tunaweza kuwashauri tu wakifata ushauri sawa wasipofata sawa hiyo mi choice yao. Huwezi control mtu mzima
 
Love is a good thing!
Loving each other is a God gift to us and those who pour them love so beautifully!

Kama kikombe chako hakijajaa upendo huwezi ona sababu ya kupenda na kuumia kwa umpendae japo hupaswi kuwa too much, moving on is necessary ila kuumia kama binadamu mwenye hisia ni lazima hata ukijifanya Ku suppress maumivu.

Katika safari ya mapenzi watu huwekeza hisia, na huo ni uwekezaji mkubwa sana na ndicho kinachowaumiza zaidi.
Calculation of risk ni muhimu sana kabla ya uwekezaji ili hata uwekezaji ukiwa hauna tija maumivu yatokanayo yawe si makali maana unakuwa umejiandaa kuaccept risk zote za uwekezaji.

Usiwekeze kuliko uwezo wako Wa kukabiliana na risk!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wapo watu wa hivi kweli kwa dunia ya sasa? Mtu alie kisa ameachwa au hapendwi na mtu anayempenda au ametendwa? Hapa namaanisha kulia kwa namna yoyote ile kisa mapenzi? Kulia kisa mapenzi ni ujinga kiwango cha juu. Hivi mtu unaanzaje kulilia mapenzi kama sio ujinga tuite nini 🙄 sio kulia tu hata ile mtu kuchanganyikiwa kushindwa kufanya mambo yake ya kila siku kisa tu mapenzi 🤧 mimi nikiona jitu zima linalia kisa mapenzi naliona kama chizi tu. Kuna mambo ya kulilia na kukufanya ukose furaha lakini sio mapenzi.

Mimi katika vitu navichukulia kawaida sana moja ni mapenzi. Sijawahi kulia na sitegemei kuja kulia kisa mapenzi. Mapenzi kwangu mimi ni ktu cha kawaida yakiwepo sawa yasipokuwepo sawa sipungukiwi chochote. Nadhani hii ndio sababu huwa nadumu kwa muda mrefu kwa mahusiano. Tokea nijielewe sijawahi kuwa na uhusiano wa mda mfupi.

Ujue ukitaka mapenzi yasikusumbue yachukulie kawaida acha kushobokea mapenzi sana ndio maana mnaumia na kulia hovyo kisa mapenzi 😉
Una umri gani?
 
Kweli wapo watu wa hivi kweli kwa dunia ya sasa? Mtu alie kisa ameachwa au hapendwi na mtu anayempenda au ametendwa? Hapa namaanisha kulia kwa namna yoyote ile kisa mapenzi? Kulia kisa mapenzi ni ujinga kiwango cha juu. Hivi mtu unaanzaje kulilia mapenzi kama sio ujinga tuite nini 🙄 sio kulia tu hata ile mtu kuchanganyikiwa kushindwa kufanya mambo yake ya kila siku kisa tu mapenzi 🤧 mimi nikiona jitu zima linalia kisa mapenzi naliona kama chizi tu. Kuna mambo ya kulilia na kukufanya ukose furaha lakini sio mapenzi.

Mimi katika vitu navichukulia kawaida sana moja ni mapenzi. Sijawahi kulia na sitegemei kuja kulia kisa mapenzi. Mapenzi kwangu mimi ni ktu cha kawaida yakiwepo sawa yasipokuwepo sawa sipungukiwi chochote. Nadhani hii ndio sababu huwa nadumu kwa muda mrefu kwa mahusiano. Tokea nijielewe sijawahi kuwa na uhusiano wa mda mfupi.

Ujue ukitaka mapenzi yasikusumbue yachukulie kawaida acha kushobokea mapenzi sana ndio maana mnaumia na kulia hovyo kisa mapenzi
Yes
we exist
 
Hujapenda wewe, tambua kila mtu ana wakati na siku yake, hata playboys muwaonao hukamatika nakuwa mazuzu, inshort ni hivi hakuna mtaalamu wa mapenzi.
Kweli wapo watu wa hivi kweli kwa dunia ya sasa? Mtu alie kisa ameachwa au hapendwi na mtu anayempenda au ametendwa? Hapa namaanisha kulia kwa namna yoyote ile kisa mapenzi? Kulia kisa mapenzi ni ujinga kiwango cha juu. Hivi mtu unaanzaje kulilia mapenzi kama sio ujinga tuite nini sio kulia tu hata ile mtu kuchanganyikiwa kushindwa kufanya mambo yake ya kila siku kisa tu mapenzi mimi nikiona jitu zima linalia kisa mapenzi naliona kama chizi tu. Kuna mambo ya kulilia na kukufanya ukose furaha lakini sio mapenzi.

Mimi katika vitu navichukulia kawaida sana moja ni mapenzi. Sijawahi kulia na sitegemei kuja kulia kisa mapenzi. Mapenzi kwangu mimi ni ktu cha kawaida yakiwepo sawa yasipokuwepo sawa sipungukiwi chochote. Nadhani hii ndio sababu huwa nadumu kwa muda mrefu kwa mahusiano. Tokea nijielewe sijawahi kuwa na uhusiano wa mda mfupi.

Ujue ukitaka mapenzi yasikusumbue yachukulie kawaida acha kushobokea mapenzi sana ndio maana mnaumia na kulia hovyo kisa mapenzi

Don't hunt what you can't kill.
 
Mtoa Mada niko pamoja na wew 100% mim hata sijali wanawake kabix Yan kwenye suala la mapenzi Usiwa tetemekeee hawa mim sijawah kuomba msamah mwanamke kisa mapenzi kama nime muudhi ata jijua huko.

Alaf hata kama na yey akinisalit ni kivyake huko agongwe papuchi n kivyake huko ninacho angalia mim nimekojoa kwa Raha zangu Basi Wivu sana nao ni Utumwa tuh.

Mtaendeshwa sana wenye wivu na wanawake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea uko kwenye uhusiano kwa malengo gani.

Ukiwa na mtu kimaslahi huwezi kulia hata siku moja. Lengo si kuchota pesa au kwa sisi Men unakuwapo kupata free papuchi. Ila siku utakayokuwa kwenye mahusiano na mtu kwa msukumo wa hisia za upendo ndio utakuja kuelewa kwanini mboga zote huungwa na kitunguu maji.
 
🤣🤣pussy yake kaamua yeye kugongwa wewe unalialia.... Shubamiit.
Mapenzi ni zaidi ya sex muhimu tuheshimiane.
 
Inategemea uko kwenye uhusiano kwa malengo gani.

Ukiwa na mtu kimaslahi huwezi kulia hata siku moja. Lengo si kuchota pesa au kwa sisi Men unakuwapo kupata free papuchi. Ila siku utakayokuwa kwenye mahusiano na mtu kwa msukumo wa hisia za upendo ndio utakuja kuelewa kwanini mboga zote huungwa na kitunguu maji.
Na uzi ufungwe. Umemaliza kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom