Utu uko wapi?

chaliko

Senior Member
Apr 1, 2019
180
802
" Ndugu zangu tufanye Kazi huku tukimtanguliza MUNGU na kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa huu wa .....". Sauti ya mtu mmoja hivi ilisikika.

Hee... kabla ya hapo Baba mwenye Nyumba si alisikia kuna nanihi... kwenye ile Nyumba anayokaa kule nanihi.... Siku chache tu akatoka nduki..... Hadi Nyumba jirani ambako pia ni makazi yake. Alipofika kule akatufariji na Kumtumainia MUNGU. Maneno yake nimeyalonga hapo juu.

Kesho yake nikasikia Kaka Mkubwa akiwaasa wasaidizi wake mananihi........ kuweka mpira kwapani wakati huu wa nanihi...... Kwani ni hatari kwa afya zao.

Sijakaa sawa, naona picha za mnato na video Baba mwenye nyumba anazunguka Mlima akiwa kwenye nyumba Jirani. Mweee....

Mama Mkubwa ndiyo hasikiki kabisa... wakati huu wa ....... Kudadeki, sijui kaamua kuvuka maji ili aka jiloki dauni. Kama hajavuka maji basi atakuwa ameamua kujiloki dauni hukuhuku.

Yerewii.... kule kwa Mh. wa kupiga wenzake marungu nasikia muda wa meeting umepunguzwa pia wananihi....... wetu wataingia kwa shift ili kupunguza msongamano.

Khaa... Baba mwenye Nyumba si kaamua kukimbia na Nyumba jirani, kaelekea masafa marefu kule nanihii.... ambako alionekana anakunywa nanihii.
.. na mtu aliyegeuza nanihi... yenye nembo ya nanihii.....
Unajua kwa nini kaenda kule?
Ameenda KUJI LOKI DAUNI ili asipate nanihi.....

Mimi kwa kweli nimejiuliza tu, kama;

BABA - AMEJILOKI DAUNI

MAMA MKUBWA - AMEJILOKI DAUNI

KAKA MKUBWA NA WASAIDIZI WAKE - WAMEJILOKI DAUNI

Na siyo KUJI LOKI DAUNI TU, pia wametia mpira kwapani.

Wakubwa wame-jiloki dauni na kuweka mpira kwapani halafu sisi wadogo wanatuambia TUCHAPE KAZI huku TUKIMUOMBA MUNGU.

Mwee.... mwee... mweee....

Najiuliza "UTU UKO WAPI?"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi nimekupata. Ikitokea zilzala kila kivyake. Akili kichwani mwako.
 
Mkuu mimi nimekupata. Ikitokea zilzala kila mtu kivyake. Akili kichwani mwako.
 
Ni kwamba Viongozi Wanaonekana kujiweka kwenye mazingira safi na Salama dhidi ya Covid-19, Hali ya kua Sisi tunaambiwa tuombe Mungu na tuchape kazi
.
Mbona Hakuna jitihada zozote zinazofanywa kwetu Sisi walala hoi ili kukabiliana na Covid-19 zaidi ya maneno maneno tuu... UTU UKO WAPI ?? Mtoa Mada anahoji
.
Mfano Kenya wamepewa Sanitizer bure
Rwanda wapo kalantini na wanapewa Msosi na Serikali yao
Sisi tuchape tunaomba Mungu tumeambiwa,
Umemuelewa ?
Halafu nasikia kuna Account imetolewa ili sisi WALALAHOI tuisaidie SIRIKALI badala ya SIRIKALI kutusaidia sisi.

Sijui KIBUBU kimetoboka.
 
" Ndugu zangu tufanye Kazi huku tukimtanguliza MUNGU na kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa huu wa .....". Sauti ya mtu mmoja hivi ilisikika.

Hee... kabla ya hapo Baba mwenye Nyumba si alisikia kuna nanihi... kwenye ile Nyumba anayokaa kule nanihi.... Siku chache tu akatoka nduki..... Hadi Nyumba jirani ambako pia ni makazi yake. Alipofika kule akatufariji na Kumtumainia MUNGU. Maneno yake nimeyalonga hapo juu.

Kesho yake nikasikia Kaka Mkubwa akiwaasa wasaidizi wake mananihi........ kuweka mpira kwapani wakati huu wa nanihi...... Kwani ni hatari kwa afya zao.

Sijakaa sawa, naona picha za mnato na video Baba mwenye nyumba anazunguka Mlima akiwa kwenye nyumba Jirani. Mweee....

Mama Mkubwa ndiyo hasikiki kabisa... wakati huu wa ....... Kudadeki, sijui kaamua kuvuka maji ili aka jiloki dauni. Kama hajavuka maji basi atakuwa ameamua kujiloki dauni hukuhuku.

Yerewii.... kule kwa Mh. wa kupiga wenzake marungu nasikia muda wa meeting umepunguzwa pia wananihi....... wetu wataingia kwa shift ili kupunguza msongamano.

Khaa... Baba mwenye Nyumba si kaamua kukimbia na Nyumba jirani, kaelekea masafa marefu kule nanihii.... ambako alionekana anakunywa nanihii.
.. na mtu aliyegeuza nanihi... yenye nembo ya nanihii.....
Unajua kwa nini kaenda kule?
Ameenda KUJI LOKI DAUNI ili asipate nanihi.....

Mimi kwa kweli nimejiuliza tu, kama;

BABA - AMEJILOKI DAUNI

MAMA MKUBWA - AMEJILOKI DAUNI

KAKA MKUBWA NA WASAIDIZI WAKE - WAMEJILOKI DAUNI

Na siyo KUJI LOKI DAUNI TU, pia wametia mpira kwapani.

Wakubwa wame-jiloki dauni na kuweka mpira kwapani halafu sisi wadogo wanatuambia TUCHAPE KAZI huku TUKIMUOMBA MUNGU.

Mwee.... mwee... mweee....

Najiuliza "UTU UKO WAPI?"

Sent using Jamii Forums mobile app
Bhangi humfanya mtu kumchukia mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom