Recent content by Superintendent kimura

  1. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    RIP classmate
  2. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania Hii kampuni ya bety ya sportbet imenidhulumu aisee.

    Kwq nn huku cash out mapema ukamalizana nao kidizaini fulani
  3. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania Mademu wa Kiafrika siwataki kabisa!

    Hapa ukiweka kichwa tu tayari maana yamoto balaa
  4. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania ina Makamu wawili wa Rais? Mmoja ni halali na mwingine ni batilifu hadi Septemba 4 ndipo anakuwa halali. Rais na VP Sio Wabunge!

    Uzuri raha ya kuimba nikupokezana ipo siku na wao wataanza kutoa milio muda ndio utazungumuza
  5. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kishindo: Mauzo ya Depu na Okello Yainufaisha Yanga SC Shilingi Bilioni 4.6

    tuwekee na bank statement basi ili stori ikamilike
  6. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania Tuwataje "100 Greatest Tanzanian of all time"

    Kwenye list yako kombo anafanya nn hapo
  7. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa, Choicevariable na Tlaatlaah: Vijana Watatu Wenye Laana na Mikosi

    hao wote ni washamba tu wakikua wataacha
  8. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania Hii michango ya harusi laki moja mnayoweka kwenye kadi tena bila option ya kuchagua ya size yako tutaonana wabaya aisee

    michango ya harusi usipokuwa makini kwa mwaka unapoteza hela nyingi sana baada ya kushitukia huu mchezo nishaacha kuchanga
  9. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania Show-off za mjini zitawavua nguo

    Kuwa na nyumba yako ni mhimu sana ukiwa na miaka 40 na kuendelea lolote laweza kutokea kipato kikapolomoka na kushindwa kulipa bills
  10. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania Huwa nashangaa Sana Mtu Umeolewa na huna Kazi ya Kukuingizia Kipato, Unaazima Laki 1 na Unasema Hutaki Mmeo ajue utailipaje sasa?

    Zingatia sana 5Cs of Credit Character (Tabia/Uaminifu) Historia ya mkopaji katika kulipa madeni. Uaminifu, nidhamu ya kifedha, na sifa zake. Capacity (Uwezo wa Kulipa) Uwezo wa mkopaji kurejesha mkopo kutokana na mapato au mtiririko wa fedha (cash flow). Benki huangalia mapato dhidi ya...
  11. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania Nakupa code; kwenye biashara yoyote ya delivery ukisikia sauti ya mzanzibari kimbia haraka

    Tv inch 75 Tcl wanauza 250k pamoja na delivery sasa unatakiwa utume 100k alafu nyingine utamalizia ukipokea mzigo sasa hapo jichanganye upingwe za utosi
Back
Top Bottom