Recent content by supercharger GT

  1. supercharger GT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

    😂😂😂 Hii imenikumbusha binti fulani wa Chuo cha Mipango Dodoma! Nilikuwa namuona malaika! Ila alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kupanga ratiba za sisi tunaomla, tulikuwa kama njemba 5 hivi, na wote tulikuwa tunaridhika bila shida! Aiseeee..!!! Ukimuhitaji anytime anakuja....hahaha! Mpaka leo...
  2. supercharger GT

    JamiiForums Tanzania Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

    Dini uliyozaliwa nayo shika hiyo hiyo. Hizi dini zote na imani zote ni mifumo ya Utawala tu! Mungu hahuko kwenye dini!
  3. supercharger GT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha jamii ya Wameru wana utaratibu mzuri wa Kuwafunda Mabinti zao kuwa Wanawake bora kwenye Familia

    Braza umependa kisawa sawa😀😀hongera sana
  4. supercharger GT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

    Binti alimpanga mama yake waniombe pesa ya matibabu ya baba yao(kwamba mzee kalazwa etc), mama yake akanipigia kunieleza hilo suala, Kijana nikajitutumua nikatuma fasta....but kuonesha najali nikaanza ku-force kutaka kwenda kumuona huyo mzee na mimi, kona kona zikaanza...nikalazimisha kwenda...
  5. supercharger GT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wa kitanzania wanapenda kutoka kimapenzi na watu wanaofanya kazi hizi?

    😀😀😀😀Dah, mwamba umenichekesha sana! Wewe unatongoza mademu wa aina gani kwani? Nimeona sehemu hapo juu umesema gari unayo, nyumba etc, na ukamalizia kuwa ni vitu vya kawaida kwenu watu wa Marketing! Sasa mbona mademu wanakukimbia man? Jiangalie wewe kama wewe, shida haipo kwenye kazi yako braza...
  6. supercharger GT

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nahangaika na masomo ACCA kwa muda mrefu bila mafanikio

    Habari wakuu? Mwaka mpya umeanza kwa kasi, inabidi tuanze punguziana machungu sasa. Mimi niko Dodoma, kuna namna nimekuwa nahangaika na masomo ACCA kwa muda mrefu bila mafanikio. Naomba kwenye uzi huu kama watapatikana wenzangu ambao nao wapo huku Dodoma na wana changamoto kama yangu...
  7. supercharger GT

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni 'low minded'?

    Katoboa😀😀😀😀
  8. supercharger GT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kosea yote, ila usikosee kuzaa watoto wote kwa mwanamke moja

    Nani kaelewa hii?😀😀😀😀
  9. supercharger GT

    JamiiForums Tanzania Tujuzane ukweli kuhusu gari kijerumani, hasa hasa AUDI

    Hasara zake mkuu? Au chuma haina kasoro hii?
  10. supercharger GT

    JamiiForums Tanzania Tujuzane ukweli kuhusu gari kijerumani, hasa hasa AUDI

    Kwanink mkuu?😀😀
  11. supercharger GT

    JamiiForums Tanzania Tujuzane ukweli kuhusu gari kijerumani, hasa hasa AUDI

    Wakuu mko njema? Kwanza tupeane Pole kama Taifa na Janga la Kariakoo! Tumuombe Mungu asimamie afya za majeruhi na kuwarehemu waliofariki🙏 Tukirudi kwenye mada. Nimekuwa interested sana na AUDI A5 SportBack Quattro TFSI. Hivi nikivuta hii nitakuwa sijajichanganya kweli?(au nijirudishe tu kwenye...
  12. supercharger GT

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Yusuf Juma Mwenda ateuliwa kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar

    Huyu jamaa anaonekana yuko vyema sana. CV yake imekaaje wakuu? Mtu ajitolee kutumwagia cv yake hapa na sisi tuwe motivated
  13. supercharger GT

    JamiiForums Tanzania Watu wafupi na inferior complex

    Sisi wafupi hatukujiumba wenyewe, tumejikuta tushakuwa hivyo! Hata kwenye kujiamini ni hivyo hivyo, tunahisi kudhaurika muda wote[emoji3][emoji3][emoji3]tuwache tu, kuna mabinti wanatuoneaga huruma wanatupenda hivyo hivyo. Bahati nyingine ni kwamba Mwenyezi Mungu amejalia watu wafupi wengi...
  14. supercharger GT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Simlaumu huyo mwanamke....msela wetu wewe unaonekana hata approach yako kwa huyo demu ilikuwa hivyo hivyo
  15. supercharger GT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za mke wangu zimenichosha, nafikiria kumuacha

    Pole sana. Kakupita kipato itakuwa...! Nadhani pambana sana kuzibua sikio lake la chini, atakuelewa! Tofauti na hapo changamoto
Back
Top Bottom