Recent content by Super AMOLED

  1. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Je, namba kubwa kuliko zote duniani ni ipi?

    Msamehe bure,
  2. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Katoro Na Tunduma, Saa 12 Asubuhi Ugali na Nyama Choma Inakua Tayari Kwingine huko Vipi?

    Huku kwetu machimboni ugali upo muda wote, ukisikia kameruka sogea na usiposikia itabidi ukarushe
  3. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Tengeneza dawa ya nguvu za kiume nyumbani kwako

    Dawa mujarabu haihitaji kuwa na imani
  4. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Tengeneza dawa ya nguvu za kiume nyumbani kwako

    Mara ugali wa dona, mara mazoezi, mara kuondoa stress, na leo tena hii juisi, kwa ufupi dawa bado haipo
  5. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

    Kila mahali ni vilio, kila mtandao unahitaji kushinda mechi zake, watumiaji hatuna hata nafasi ya kutoa sare
  6. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

    Simu zenye plastic body na zenye MTK siku hizi hazinishawishi kabisa, huwa naumia simu kali ila plastic body.
  7. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba hatendewi haki, Watanzania tuache ukatili

    Kwani likizo hii umeenda kwa Bibi, umebaki nyumbani kupambana tuition, upo uswahilini kwenye kamari ya bonanza, upo mtaani na waimbaji wa Singeli, au upo toilet!!!
  8. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Hebu tuangalie ubora wa samsung galaxy A72 dhidi ya Iphone 11

    Baki na hiyo uliyonayo
  9. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Shura ya Maimamu Tanzania kuhusu kuachiwa Masheikh wa Uamsho

    Sio kwamba wewe ndiyo utafurahi!!! Kama Serikali imekosa ushahidi ulikuwa wapi kwenda kutoa ushahidi!
  10. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Kuachia wahalifu kwa muda mfupi ni hatari inayokuja nchini

    Vipi angekua Mzee wako wamuache afie huko!!!
  11. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Picha: Shamila (Shamy_BK) ndio mrembo mwenye shepu kwasasa bongo

    Umenukuu ile ngoma ya Chibonge
  12. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio starehe mbili kubwa duniani kote kwa mwanaume

    Unawakosea sana wanaomiliki aifoni(iPhone) na wenye ist, huwa wanajikuta wapo kwenye starehe, hivyo ningeomba wakumbukwe kwenye orodha.
  13. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Processors(SoC) za simu bora zinazofanya simu kuwa nzuri(2021)

    Maajabu mengine!!! Watengenezaji wa hizo SoC wanamiliki MTK, na wabunifu wana SoC nzuri kuliko watengenezaji, je ni mambo ya b'ness au kuna nini!!
  14. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnaopenda kuja Norway kutafuta maisha chukua ushauri huu, kazi nyingi ni za bandarini

    "Ndugu yangu dunia nzima hakuna pesa Ila inategemea wewe unaitafuta vipi."
  15. Super AMOLED

    JamiiForums Tanzania Ujasusi wa kiuchumi: Katika hili kenya imetupiga bao

    Wasiwasi wako tu, Tanzania tutamove kivyetuvyetu sio kuangalizia alichofanya jirani, tunafanya tunachokiweza sio tunachokiona na kukisikia
Back
Top Bottom