Recent content by supatolu

  1. supatolu

    JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Tuko tayari kuchangia chama chochote kinachopigania haki kikweli.
  2. supatolu

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wazuri na warembo penzi lao huangukia kwa watu wa shoka?

    Kwahyo hizo ngwamba ndio za mtu wa shoka?
  3. supatolu

    JamiiForums Tanzania SIGARA NA UMALAYA: KIPI NI HATARI ZAIDI KWA AFYA? 🚬🤔

    Na yenyewe labda iandikwe tuu.
  4. supatolu

    JamiiForums Tanzania Kujisokonyoa sehemu za siri na kunusa: ni hulka au ni ugonjwa?

    Mh. Mi sijisokonyoagagii. 🏃🏃
  5. supatolu

    JamiiForums Tanzania Tanzania kukoje? Sasa kilichopandisha bei ya bia ni kitu gani?

    Mkuu katika kuchangia mada hii wajumbe tujikite kwenye saruji au hiki kimiminika chetu pendwa? Maana lengo ni tujue tunaelekea wapi?.
  6. supatolu

    JamiiForums Tanzania Asante serikali awamu ya 6 ya kwa elininyo hii, usukumani wameisha ipokeaam alumuniamu rainfall.

    Nimeamini Kuna watu wanaigombanisha serikali na wananchi.
  7. supatolu

    JamiiForums Tanzania Asante serikali awamu ya 6 ya kwa elininyo hii, usukumani wameisha ipokeaam alumuniamu rainfall.

    Hapa niko na wadau walipewa dili la kuzibua mitaro kwa ajili ya maandalizi ya el nino. Wanachoniadithia ni uchungu tupu.
  8. supatolu

    JamiiForums Tanzania Buruani: CHADEMA kila wakizunguka wanataka Katiba Mpya, Kuna mwananchi anakula Katiba hapa?

    Mengine ni ya kuhurumia tu.
Back
Top Bottom