Recent content by Sunuka

  1. Sunuka

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Salman Rushdie avamiwa na kuchomwa kisu kwenye mhadhara, New York

    Umesahau juzi tu hapa mlikua mnalalamikia Tundaman kuingia na msalaba uwanjani mbona yesu yupo nyie mlalamika acheni watu wacheezee misalaba mwenye misalaba yake aje aitete hayo ni maagizo ya Mungu mwenyewe ukikufuru wakuue hakuna mjadala
  2. Sunuka

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Jacob John Mkunda kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF)

    Weka picha tumuone
  3. Sunuka

    JamiiForums Tanzania Shamte: Katiba ya nchi haijasema 'Head of State' atawale miaka 10, miaka mitano ikiisha tutafute Rais mwingine lakini siyo huyu

    Kwanini wamempiga kumvua uanachama ingetosha chama cha kijani hakipendi hoja mbadala
  4. Sunuka

    JamiiForums Tanzania Mfahamu "Mkandala Rufufu" mzee wa kukotola

    Dj Mark ndio mkali wao kwangu
  5. Sunuka

    JamiiForums Tanzania Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

    Vumbi la kongo halina msaada wowote uchi unasimama vizuri lakini kichwa cha dhakari kinakua na ganzi ndio sababu yakutokumwaga mapema hapo anaefaid ni mwanamke ndio anasikia utamu halisi
  6. Sunuka

    JamiiForums Tanzania Kitabu "HIBA YA WIVU" cha Zainabu H. Mwanga nitakipata wapi?

    unamaanisha posta?
  7. Sunuka

    JamiiForums Tanzania Biashara ya madada wa kazi Uarabuni bado iko juu

    Akiuzwa pesa anachukua nani. Yeye alieuzwa au wakala wake?
  8. Sunuka

    JamiiForums Tanzania Ndoto: Sehemu muhimu kwa afya ya hifadhi ya akili

    Mimi siotagi ndoto ndefu naota ndoto fupi sana na nikiota nikiamka nasahau. Na ninaweza kukaa hata miezi miwili sijaota ndoto
  9. Sunuka

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio series zangu kali

    Mi nataka muandikapo hizo season muwe mnatofautisha ni za vijijin au za mjini. Mi za mjini napenda sana kuliko za vijijini
  10. Sunuka

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nyoka hujivua gamba lake?

    Nasikia na kinyonga nae huwa anajivua gamba halafu analila yeye mwenyewe? Kuna ukweli kuhusu hilo?
  11. Sunuka

    JamiiForums Tanzania Mjue Mmarekani Seneta Ernie Chambers aliyemburuza "Mungu" mahakamani

    Hii ndio wanasemaga majuu hamnazo
  12. Sunuka

    JamiiForums Tanzania MJUE MNYAMA FARU: Mnyama mwenye pembe inayotengeneza dawa maarufu ya Viagra

    Faru ndugai ndio yupo hifadhi gani?
  13. Sunuka

    JamiiForums Tanzania Mjue mnyama Kobe

    Kobe mnyama au mdudu?
  14. Sunuka

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kampeni ya kupambana na Ushoga ya RC Makonda sio msimamo wa nchi

    Sasa kama ni hayo amber rutty wanamsumbua nini kumbe washasain mikatabta ya kimataifa mwenye kupenda mambo hayo afanye tu. Ujinga kabisa
Back
Top Bottom