Biashara ya madada wa kazi Uarabuni bado iko juu

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,646
Huwa nashangaa sana mtu akibisha kwamba watu hawauzwi au wanaosafirishwa kufanya kazi hawaendi kuteswa na kunyanyaswa mkabala na kunyang'anywa passport Uarabuni.

Hii hapa ni mojawapo ya nchi ambayo wasichana wa ndani wanauzwa tena kwa njia ya mtandao.

KUWAIT

Screenshot_2019-11-22-23-32-49-55.jpeg

Screenshot_2019-11-22-23-32-51-86.jpeg

Hii ni online market ya wafanyakazi wa ndani. Wengi wao kutoka nchi masikini Africa, India na kwingineko.

You can check through

Source: BBC
 
hii ni kweli nimeiona hata mimi inasikitisha sana sema hata waarabu wenyewe wanauzwa wale wenye maisha ya dhiki ndio bidhaa au watumwa.
 
Akiuzwa pesa anachukua nani. Yeye alieuzwa au wakala wake?
 
Wengine washazoea kutumikishwa. ..na ulimbuken wanaojazwa vichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona kama umekuja na hasira sana, pengine una stress za maisha ya jambo fulani au umeachwa au kuna mwenzio katusua kimaisha kaenda oman na wewe imekuuma , na pengine mlikua mmeshibana amekuacha kwenye mataa unalialia humu, unatafuta huruma ya watanzania

Hapana mkuu ,ujue waafrica tunadharaurika sana kwa sababu akili zetu zimelala....
Bado ukiona video za watu weus wanavoteswa uko na kuuliwa kizembe plus na serikal zetu hazina uwezo wakupambana na nchi nyingine za wazungu na waarabu basi n tabu tupu

Wee jamaa unawachukia sana waarabu,,,hata uwachukie vipi lakini cc tutaenderea kuwapenda na kuwathamini kama wanavyo2thamini cc, coz hata Mtume wetu Muhammad (S.A.W) alikuwa Mwarabu pia.

Hivyo Endelea kuumia mpaka upasuke mkuu
 
Huwa nashangaa sana mtu akibisha kwamba watu hawauzwi au wanaosafirishwa kufanya kazi hawaendi kuteswa na kunyanyaswa mkabala na kunyang'anywa passport Uarabuni.

Hii hapa ni mojawapo ya nchi ambayo wasichana wa ndani wanauzwa tena kwa njia ya mtandao.

KUWAIT

Hii ni online market ya wafanyakazi wa ndani. Wengi wao kutoka nchi masikini Africa, India na kwingineko.

You can check through

Source: BBC

watu wa visiwani ukiwaambia waarabu huko nje wanatutesea ndugu zetu hawaeli kabisa atakubishia hadi asubuhi.
 
Wee jamaa unawachukia sana waarabu,,,hata uwachukie vipi lakini cc tutaenderea kuwapenda na kuwathamini kama wanavyo2thamini cc, coz hata Mtume wetu Muhammad (S.A.W) alikuwa Mwarabu pia.

Hivyo Endelea kuumia mpaka upasuke mkuu
Ndo hapo waliponunua werevu wako

Wazungu wanasema yesu mzungu
Waarabu wanasema mtume muarabu!!
Yote hi n kuwafanya waafrica wawe inferior kwao

Hata Iran wanaamin mtume lakin wanawaadabisha waarabu kwasabab wanawajua walivomakatili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom