Wadau habari za hapa no kitambo sana Niko kimya ila nmerudi ulingoni wazee wenzangu. Napata shida kwenye premier bet hasa kupata version ya computer kwangu inazingua(natumia cm)
Pili nmedeposit ila kila nikitia stake mkeka hausomi kiasi cha hela na nikisubmit naambiwa hamna hela kwenye A/c yangu...
Nashauri raisi atoke kwenye mfungano wa kisiasa na hili swala amwombe tundu lisu& mwanasheri wa serikalk wajazie nyama awachezeshe Accasia Ngoma inogile
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.