Nyumba inapangishwa, 120,000

Nyumba inapangishwa, 120,000

Mr. MTunazingua : 23922142 said:
Mbezi msakuzi ni mbele ya wapi?
Mbezi mwisho, unaingia Kwa Yusufu kama unaenda magohe, hapo katikati kuna kituo wanaita Freetown, ndio unashukia hapo. Dakika
tano kutoka barabarani
 
Wakuu habari za majukumu,
Napangisha Nyumba yangu. Hii ni mara ya pili naleta hili tangazo. Ila kuna baadhi ya vitu vimeboreka.
Sifa za Nyumba
-Vyumba vya kulala vitatu, kimoja master
Dinning
Jiko.
Sitting room
Tile kote
Varanda Mbili
Gypsum
Simtank
Rangi nyeupe, nje na ndani
Full fence
Ila Umeme mwezi ujao, kulikuwa na tatizo upande A kuvutia

Eneo: Ni mbezi msakuzi, kituo freetown

Simu 0716411720View attachment 607133
nina 40,000 per month kama hutajali tusaidiane kindugu usawa huu wa makofuli umebana!!!!!
 
Huko Mpigi magohe hata za bure zipo. Watu wamejenga huko wanashindwa kuishi kutokana na umbali na town. Hivyo akijitokeza mtu anayetaka kuishi huko unapewa tu kwa mashariti ya kutunza mazingira. Hivyo hiyo bei ni ghali kwa freetown labda ungeanzia laki. Watu wenye mishe huko au mbezi mwisho wanaweza kuja kupanga.
 
Kumbe zipo za bure, kuna jamaa yangu anaomba umsaidie akae huko. Pili Kwangu sio magohe, ni Freetown, magohe ni mbali
 
Mbona kasema ni mbezi msakuzi kituo cha Freetown? Soma tangazo org mpaka mwisho utaona
Nilisahau, ni mbezi msakuzi, kituo freetown
So hata Mleta mada alivyosema alisahau amekosea?? sikukurupuka Mkuu wangu
upload_2017-10-13_11-24-30.png
 
Huko Mpigi magohe hata za bure zipo. Watu wamejenga huko wanashindwa kuishi kutokana na umbali na town. Hivyo akijitokeza mtu anayetaka kuishi huko unapewa tu kwa mashariti ya kutunza mazingira. Hivyo hiyo bei ni ghali kwa freetown labda ungeanzia laki. Watu wenye mishe huko au mbezi mwisho wanaweza kuja kupanga.
Jamani hebu punguzeni uongo hakuna nyumba za bure duniani....labda kama umewaandikia wapumbavu..... hilo eneo watu wana kaa wengi sana huko labda useme upunguziwe bei lakini hakuna nyumba za bure..... mnafikiri hatupajui huko?
 
Mkuu kama utakubali nikulipe kila mwezi niambie, nahamia mwezi ujao
 
Yaani watanzania biashara zimetushinda yaani wewe unataka upangishe nyumba but hujipi muda wa kupiga picha zinazoeleweka plus maelezo ya kutosha
 
Wakuu habari za majukumu,
Napangisha Nyumba yangu. Hii ni mara ya pili naleta hili tangazo. Ila kuna baadhi ya vitu vimeboreka.
Sifa za Nyumba
-Vyumba vya kulala vitatu, kimoja master
Dinning
Jiko.
Sitting room
Tile kote
Varanda Mbili
Gypsum
Simtank
Rangi nyeupe, nje na ndani
Full fence
Ila Umeme mwezi ujao, kulikuwa na tatizo upande A kuvutia

Eneo: Ni mbezi msakuzi, kituo freetown

Simu 0716411720View attachment 607133
Hiyo pesa ni sawa kabisa.
 
Dah! Magufuli amenikomesha ningekuwa Nina jeuri hata ya kiunena
 
Tupia picha ya mwonekano wa Nyumba kwa nje na mazingira ya nje na mazingira ya majirani! Hayo yote ni muhimu!
 
Sijakuona nola, post: 23934292, member: 151814"]Dah! Magufuli amenikomesha ningekuwa Nina jeuri hata ya kiunena[/QUOTE]
Sijakupata hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom