Recent content by Sunguraaa

  1. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Nani kaimba huu wimbo?

    Anatakiwa atoke underground- atapata mashabiki [emoji846]
  2. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Nani kaimba huu wimbo?

    Asante. Nimefuatilia, naye kaupokea kipande kama ulivyo[emoji23] Shazam imeshindwa. Nimeiachia www jibu litajitokeza, yupo anayeufahamu.
  3. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Nani kaimba huu wimbo?

    Asante Da Don. Nautafuta.
  4. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Nani kaimba huu wimbo?

    Kwenye hii clip kuna wimbo unapigwa hapo anayefahamu msanii na jina la wimbo atusaidie tafadhali.
  5. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji2][emoji2][emoji2]
  6. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hawaruhusiwi kuuza nyama buchani?

    Tembea uone ndugu. Kinamama wapo kwenye bucha kila kona. Hata hapa mji kasoro bahari zipo kadhaa wanauza wanawake.
  7. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Jinsi moto ulivyomfuata aliyekimbilia juu ya mti

    May he rest in peace.
  8. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Wakili Albert Msando amepotosha umma kwa kudai CAG hana kinga ya kutohojiwa na Kamati ya Bunge

    Hapo sasa![emoji16] Manake kwa hili ingebidi orodha ya wanaoitwa na bunge iwe ndefu sana, nafikiri hata nafasi ya kufanya kazi nyingine ingekosekana![emoji2] Bila ya yeye kuwa CAG katu asingeitwa. Nashidwa kuelewa hawa wanaodai kaitwa kama yeye. Unaachanisha vipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Mshtakiwa: Waziri Lukuvi alinipiga kabari na kunipora begi lenye pesa

    Mkuu hapo umetia na chumvi kidogo lakini[emoji16]
  10. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Hospitali za SDA (Wasabato) hili swali lina umuhimu gani?

    Hata mimi ndilo la kwanza ningehisi. Pengine katika jamii kuna takwimu zinaonesha watu wa dini fulani hawaugui ugonjwa fulani sababu desturi zao haziruhusu kula kitu fulani. Kwa kutumia takwimu inaweza kuwa njia mojawapo kuthibitisha aina fulani ya ugonjwa inatokana na desturi fulani. Ama ili...
  11. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa mabasi ya kapricon nunulia basi lako whisper

    Uzembe ni wa dereva na kondakta wake kutokagua gari kabla ya safari. Sidhani kama mmiliki kashindwa kununua wipers lakini kaweza kununua mabasi. Hawa wapo vizuri tu na gereji iliyokamilika pale Moshi mjini. Na bado hata kumlaumu dereva na mmiliki inaweza ikawa si haki, kama una mazoea na vyombo...
  12. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Msako wa wamiliki wa visima wasiovilipia ada ya matumizi waja

    Point. Ni ukweli kabisa, sheria haimaanishi haki. Nimekuelewa vizuri kabisa. Wakumbuke ndugu zetu wa Afrika Kusini, sheria zilitungwa za kumkandamiza mtu mweusi. [emoji109]
  13. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Usivae nguo ya ndani ewe mwanamke, utapata tabu sana

    Pantiless! Best turn on ever!! [emoji6]
  14. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Unakufa Thread

    Unaogopa kupanda ndege isijeanguka ukafa ukiwa nyumbani kwako chumba cha maakuli unakula makange ya kuku ndege inaangukia nyumba na unakufa![emoji16]
  15. Sunguraaa

    JamiiForums Tanzania Unakufa Thread

    Ha ha ha!!! :-D
Back
Top Bottom