Recent content by sunday kagaruki

  1. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni responds to Obama on anti-gay bill

    I am proud of that man Yoweri kaguta did you see how he reacted on Obamas delegates lam worried if this SMS could be sent to TZ. Wote chali nani angesema
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Rwanda limekuwa likijipanga mpakani, Ndiyo maana Prof Mwandosya alienda kuonana na PK

    Nyie hamjajua vizuri wanyarwanda Tanzania in wengi name wamejipenyeza hAdi sehemu nyeti tazama vizuri police,jeshin, magereza nk. Na wamejifunza lugha za mikoa walipoingilia .kigoma, kagera, tabora. Wameimaster TZ vizuri nakuhakikishia wanaweza kutupiga msuwadharau. Tunayo kazi japo siwezi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Walionyongwa China, Damu zao mikononi mwa Kikwete

    Condolences Mr jk name kwa wtz wote
  4. S

    JamiiForums Tanzania Taifa hili...............

    Taifa ambalo linafurahia kusikiliza porojo na kuambiwa uongo ilhali ukweli linaujua
  5. S

    JamiiForums Tanzania Athari ya agano la kupoteza usichana/ uvulana wako kabla ya ndoa

    Mimi siyo rahisi kuguswa name haya il a hii naona imetulia sana mtoa Mada umeupata wapi huu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    Mwanawani hapa changanyikeni kwangu kidogo naona mambo shwari upepo umetulia ila kamvua kwa taratibu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    Kweli we kiboko hulali nini Mimi mwenyewe nilidhani paa LA nyumba yangu kama linaondoka vile
  8. S

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumkamata mwanaume!!

    Kweli hii imefundisha nimejifunza kitu mbona wadada WA Siku hizi hawako kihalisia
  9. S

    JamiiForums Tanzania ladies......lets FAKE....

    Wachangiaji mlio wengi humu ni misister du iliyoshindwa au ambayo haina ndoa na haijui thamani na maana ya kuolewa. Mtoa mada UK sahihi
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Mtei yuko sahihi kama muasisi WA chama
  11. S

    JamiiForums Tanzania Amenisaliti anang'ang'ania vitu vyangu

    Hii siyo mada ya kuleta humu jf timiza ahadi yako kwakuwa ulikwisha muhaidi huna ujanja naye kumbe ana akili umeisha umia amua aidha umwachie hiyo ama umnunulie uliyomwahidi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tumieni nafasi hii kuimaliza CCM

    Safi sana tupo kutimiza jukumu hilo
Back
Top Bottom