Tumieni nafasi hii kuimaliza CCM

Tumieni nafasi hii kuimaliza CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,433
Reaction score
283,714
kwa wale walioamua kwenda hapa na pale kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu za XMASS NA MWAKA MPYA ,msibweteke na raha za sikukuu , muda ni mali sana , tumieni mapumziko hayo kuieneza chadema tumalize kazi , najua makamanda mmesambaa nchi nzima , PIIPOOOOOOZZ !!!
 
bila kujituma MAFISADI na WASALITI wataiteketeza nchi hii .
 
kila ulipo waeleweshe ulionao kwamba ccm ni chama chakavu , tushirikiane kuing'oa
 
Wape hii mifano halisi ya kubadili baraza la mawaziri kama mashati , kwamba ni uthibitisho wa kutokuwapo waadilifu ndani ya chama hicho chakavu .
 
kwa wale walioamua kwenda hapa na pale kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu za XMASS NA MWAKA MPYA ,msibweteke na raha za sikukuu , muda ni mali sana , tumieni mapumziko hayo kuieneza chadema tumalize kazi , najua makamanda mmesambaa nchi nzima , PIIPOOOOOOZZ !!!

Pamoja kamanda
 
umesomeka kamanda..
 
kwa vile ni christmass na makanisa yatakuwa yamefurika! kweli utakuwa wakati muafaka!!japo kwa upande huo tayari cdm iko juu!
 
mmmh npo kijijini babu na bibi wana lalamika,wasema sisi wa mijini ndio tuna waangusha, ccm kwao ni kama ishara ya umaskini.
 
Poweeer tupo makini kamanda katika operesheni ya vua gamba vaa gwanda.
 
Kweli na uwe mkweli siku zote,usiwe na ndimi mbili kama mtoto wa kigoma
 
nimekuelewa kamanda , mimi ni tofauti sana , sijaweka umasikini wangu wa kipato mbele kama tai .
 
Back
Top Bottom