ladies......lets FAKE....

ladies......lets FAKE....

nyie hapo juu,hamna ndoa ....once umeingia kny marriage instution jua umeweka covenant na huyo ulioyeolewa/oa naye,respect .......................you will have to make your marriage work😛ray:
.....hawajui wanachosema ujuaji tu wa kusema waonekane wajanja lakini hamna kitu hapo
 
ushauri mbaya sana huu, ku-fake ili asiwe na nyumba ndogo?
kwa nini usimuache aendelee na nyumba ndogo yake, na wewe ukaanze maisha yako kivyako, bila yeye
...lile swala la kufunda wanawake lilikua la muhimu sana....wasichana wa kieleo mna mitazamo hafifu sana kuhusu ndoa...kiarahisi tu ukanzishe maisha yako...!!!!
 
hata wewe unasema tufake??
au hujajua tunabishana nn na huyu bidada?
ah dr please!
nimemuelewa sana....content ya message yake ...ni kwamba sometimes sisi wanaume tunakuwa na hamu ya kusex...tumalize hamu lakini bila kuridhisha mke...so at that episodes mwanamke inabidi kuvumilia kidogo....wewe utakuwa na ushuhudakuna some episodes ukikutana na mwanaume anakua hajakufikisha mwisho....lakini mwanaume anakua ameridhika...so some hizo episodes ni kuvumilia kidogo....that's her message.....hakumaanisha kwamba ufake orgasim kila siku...mimi nimesoma na nimekaa sana na wanawake wasomi ila wengii nimechunguza na kuresearch ....KWELI kabisa nimeona WAMEKOSA elimu ya ASILI ya KUFUNDWA.....ndo maana hapa unakuta mwanamke anacoment kirahisi tu....naondoka tunaaachana.....!!!!! ni kukosa UNYAGO
 
nimemuelewa sana....content ya messcage yake ...ni kwamba sometimes sisi wanaume tunakuwa na hamu ya kusex...tumalize hamu lakini bila kuridhisha mke...so at that episodes mwanamke inabidi kuvumilia kidogo....wewe utakuwa na ushuhudakuna some episodes ukikutana na mwanaume anakua hajakufikisha mwisho....lakini mwanaume anakua ameridhika...so some hizo episodes ni kuvumilia kidogo....that's her message.....hakumaanisha kwamba ufake orgasim kila siku...mimi nimesoma na nimekaa sana na wanawake wasomi ila wengii nimechunguza na kuresearch ....KWELI kabisa nimeona WAMEKOSA elimu ya ASILI ya KUFUNDWA.....ndo maana hapa unakuta mwanamke anacoment kirahisi tu....naondoka tunaaachana.....!!!!! ni kukosa UNYAGO

hii mada ni ndefu tukutane asbh doc.
ngoja nkaridhike kwanza!!
lol
 
ila kabla sijaenda kuridhika @dr mo hebu msome tena huyu mamito ili kesho nikija twende sawa!!
 
...lile swala la kufunda wanawake lilikua la muhimu sana....wasichana wa kieleo mna mitazamo hafifu sana kuhusu ndoa...kiarahisi tu ukanzishe maisha yako...!!!!
Life expectancy yenyewe inapungua daily. Kisa cha kuvumilia upuuzi wa mwanamme? How many lifetimes do I have??
 
Wachangiaji mlio wengi humu ni misister du iliyoshindwa au ambayo haina ndoa na haijui thamani na maana ya kuolewa. Mtoa mada UK sahihi
 
Walewale. Tuacheni tupumue. Enzi za kuvumilia upuuzi ziliisja. Nyumba ndogo kafate if you are a good ---- na nyumbani washashiba.

eeeeh hata wewe nawe mtundu? ebu wacha hizo bibie
 
Hamna lolote! Wachangiaji wamejaa unafiki. Hawa ndo hua wana fake hata orgasm. Wanawake viumbe wa ajabu huwezi kuwajadili. They are never explicit!!
 
Hahaha lol! Mume wangu anajisifia ana mwanamke kichwa balaa! Namsukuma kwenye maendeleo na yeye ananipa raha duniani. Lol, mbona nilishamuambia akiona simfai apulize kipenga aone vumbi ntakalomuachia? Lol!
yaani wewe ni headache, mumeo anaipata pata fresh
 
Back
Top Bottom