Recent content by Sumulenga

  1. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli uzinduzi wa magari ungemuachia Waziri wa Afya, si hadhi yako

    Anawaomba wahubir viwanda kanisaani
  2. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya ku-unlock Tecno Y3+

    Safi
  3. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana miezi 10 lakini hajaota meno

    Bora iwe hivyo
  4. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana miezi 10 lakini hajaota meno

    Ok
  5. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana miezi 10 lakini hajaota meno

    Thanxs for your explanation. I have understood you
  6. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana miezi 10 lakini hajaota meno

    Habari wadau Mim Nina mtoto mvulana ambaye hadi sasa anamiezi 10 lakin hajaota hata jino . je hii ni kawaida? Au kunatatizo.
  7. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akumbana na mabango mkoani Njombe

    Habari, Wazir mkuu akiwa ziarani wilaya ya Wanging'ombe katika kijiji cha Ihanja kata ya Mdandu. Wananchi wakijipanga na mabango kuhusu kero zao ikiwemo ya umeme. Wanakijiji hawa walijawa na gadhabu kwani tangu Tanesco iweke nguzo mwaka 2001 hadi Leo umeme haujawekwa kijijin hapo...
  8. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Walimu wawili wa sanaa wageukia kuuza Mitumba

    Mbona maelezo yako yanakinzana. Sasa mitumba siyo kazi
  9. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

    Ah ah ah haya mkuu nimekuelewa
  10. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Hongera Wapinzani, kwa hili mmeonyesha utu

    mzee aliwachachafya hadi wakaanza kutukana
  11. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Hongera Wapinzani, kwa hili mmeonyesha utu

    Kwani ushawahi kuelewa
  12. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Hongera Wapinzani, kwa hili mmeonyesha utu

    Lakin ninachowapongeza angalau kwa sitta wamehuzunika wote pamoja richa ya sitta kumtukana kuwa lowasa ni mngonjwa hawez pona
  13. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Hongera Wapinzani, kwa hili mmeonyesha utu

    Habari wana jamvi, Takribani mwaka mmoja sasa tangu uchaguzi mkuu upite ambo ulikuwa na vimbwanga na vituko na kutolewa kwa kauli za ajabu na ambazo hazikuwa na staha hata kidogo. Wagombea wengi wa Chama cha Mapinduzi walitumia lugha nyingi za matusi dhidi ya mgombea wa urais kwa tiketi...
  14. Sumulenga

    JamiiForums Tanzania Ombi la wakulima na wanachama wa MANYOVU kwa Mh Rais Magufuli

    Nao ndo watetezi wa wanyoge. Waambie hao
Back
Top Bottom