Recent content by Sumu ya nyigu

  1. Sumu ya nyigu

    Kuhama kituo Cha kazi

    Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya kuanzisha mchakato wa kuhama kituo Cha kazi na changamoto zake kwenye mchakato. Ahsante
  2. Sumu ya nyigu

    Je, inawezekana kuhama kituo cha kazi toka Taasisi ya Umma kwenda Halmashauri?

    Habari wakuu, Naomba kuuliza, hivi inawezekana kuhama kutoka taasisi ya umma kwenda Halmashauri? If no, why? If yes mchakato wake ukoje? Naomba kuwasilisha. Ahsante
  3. Sumu ya nyigu

    Nina Diploma ya Udaktari, natafuta kazi Dodoma

    Hakuna diploma ya udaktari Duniani...
  4. Sumu ya nyigu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    daah! [emoji848][emoji848]
  5. Sumu ya nyigu

    Nani ameshawahi kupata Kazi au internship kupitia TaESA (Tanzania Employment Agency)?

    Na ndio iliyopo kwenye mkataba! Hakuna training yoyote!
  6. Sumu ya nyigu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hii ni placement ya moja kwa moja mkuu, sio database
  7. Sumu ya nyigu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Okay, kwanza kabisa ile nimeingia picha linaanza nikasahau kusalimia [emoji23][emoji23][emoji23]. Swali la kwanza introduce yourself/background info Naanza kujielezea sijafika hata nusu mama mmoja panelist anasema next question[emoji849] nikadata! swali jingine duties and responsibilities hili...
  8. Sumu ya nyigu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi Kuna mahali ali specify kuwa hiyo database itatokaje?
  9. Sumu ya nyigu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi Sekretarieti ya Ajira wanaonaga hizi comments kweli,
  10. Sumu ya nyigu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Acheni huu upuuzi wa kuringishiana vyuo mlivyosoma, Kuna watu tumesoma vyuo vyenye profile kubwa bongo lakin tukienda utumishi tunakandwa! profile ya chuo na kufaulu interview za utumishi ni vitu viwili tofauti! By the way, kusoma chuo chenye profile kubwa sio kipimo Cha kuwa wew ni intellect...
  11. Sumu ya nyigu

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Uzi umebadilishwa kabisa theme!
  12. Sumu ya nyigu

    NGO'S na upatikanaji wake wakazi

    I did an internship with World Vision Tanzania for 1 year! I can assure you, kama huna watu, tena watu kweli kweli wa kukupambania, utaishia kutuma tu maombi hata kuwa shortlisted tu haitatokea regardless of your qualifications!
Back
Top Bottom