Recent content by Summer martin

  1. Summer martin

    JamiiForums Tanzania Uzalo Special Thread

    Yan ananiboa si achague mmoja
  2. Summer martin

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuagiza bidhaa china

    Nmekua na idea ya kufanya biashara ya bidhaa mbalimbali kutoka china ila sielewi jinsi ya kuagiza bidhaa hizi..wakuu kwa yeyote anayeelewa naomba anifahamishe
  3. Summer martin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni ushauri wa kumpa huyu rafiki yangu

    Mwambie ukwel mkalishe chini kwa ustadi mkubwa wa afya ulio nao mueleze ukimficha badae akijua atakuchukia sana
  4. Summer martin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Kumbuka binadamu hutofautiana na kila mmoja na Imani yake na madhaifu yake , usihukumu kundi kubwa la single mom kupitia udhaifu wa mtu mmoja
  5. Summer martin

    JamiiForums Tanzania Nywele fupi zinakua haraka kwa kutumia mafuta aina gani....

    Mambo gani mkuu, ni kwel nahtaji nywele zikue ukiniongezea na hayo Mambo ningeshukuru zaid
  6. Summer martin

    JamiiForums Tanzania Nywele fupi zinakua haraka kwa kutumia mafuta aina gani....

    By using what mkuu maybe kuweka dawa or....
  7. Summer martin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi haya sitamuamini mwanamke hata siku moja

    Endelea ku hit n run ila make sure ucje uka hit HIV and uka run with AIDS
  8. Summer martin

    JamiiForums Tanzania Dudu baya anazidi kufilisika kiakili

    Kwa maana wanawake wanaakili Kama za wanaume wasiokua na marinda..
  9. Summer martin

    JamiiForums Tanzania Nywele fupi zinakua haraka kwa kutumia mafuta aina gani....

    salaam, Wadau Nina nywele fupi nataka zikue haraka nitumie mafuta gan...
  10. Summer martin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story! BEN 10

    Ngja tuone huu umoja wa Linda na Kyle
  11. Summer martin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijapima, ila kwa hizi dalili nafikiri mwanamke niliyekuwa nimepanga kumuoa kaniambukiza virusi vya UKIMWI

    Nenda kapme ukimwi hauonekani kwa macho, unaweza kuta huna na hzo ni dalili za Ugonjwa mwngne kbs
  12. Summer martin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachana na mpenzi wangu siku 14 kabla ya harusi baada ya kugundua ana mtoto

    Kosa alofanya ni kukufcha tu, ila hyo sheria ya bila bila ipo cku itawacost mkose wake wazr
Back
Top Bottom