Nywele fupi zinakua haraka kwa kutumia mafuta aina gani....

Mafuta aina yoyote pekee hayawezi kuzikuza nywele zako utapoteza pesa bure, utaambiwa mafuta haya mara haya utajikuta una aina za mafuta kibao ndani kwako, mafuta ni kweli yanasaidia lakini si mafuta pekee kuna mambo mengi ya kufanya kukuza nywele zako
 
Mambo gani mkuu, ni kwel nahtaji nywele zikue ukiniongezea na hayo Mambo ningeshukuru zaid
 
Si mtaalam sana ila nitakuelekeza kadri nijuavyo na mengine utatafuta.
1.Usafi wa nywele zako
Osha nywele zako kila baada ya wiki 1 na shampoo zitakate na suuza kwa maji mengi.

2. Baada ya kuosha na kuzikausha unapaka conditioner unayopenda iwe ya dukani au ya asili, unajifunika kwa mfuko wa plastiki au kofia ya plastiki unakaa nayo kichwani kwa muda wa lisaa 1 au na zaidi yaani ww tu, baada ya hapo unasafisha conditioner yako kwa maji mengi si lazima uoshe tena shampoo

3. Baada ya kuzikausha unapaka mafuta yako unayopenda ila nakushauri tumia mafuta ya maji ni mazuri,
mimi natumia mafuta ya nazi yanaitwa parachute na castor oil nimepunguza kidogo kidogo nimeyachanganya kwenye chupa nyingine. Ndio napaka mchanganyiko huo kwenye ngozi hadi juu ya nywele zangu

4. Baada ya hapo unapaka hair cream/ leave conditioner yako juu juu ya nywele isifike kwenye ngozi

5. Halafu unaweza kusuka mtindo ambao utalinda nywele zako zisikatike kama mabutu, twist, Mnyoosho/ twende kilioni hata kama ukiinganisha na rasta lakini mtindo ambao haukati nywele.

6. Na kuzinyunyuzi maji kila asubuhi kabla ya kuendelea na shughuli zako ile zisikae kavu na kabla ya kulala vaa kofia ya satin au funga kitambaa cha satini.

Ukifanya hivyo na kufuata ratiba uliyojiwekea zitakua vizuri tu.
 
Shukran sana
 
tumia grace avocado oil 3000
shampoo yake ni 1500
kila jpili uwe unaosha na nywele zako kwa shampoo na hayo mafuta paka tu kila siku,,
 
Tumia castol oil/mafuta ya nyonyo yana faida nyingi kwenye nywele na
IMG_20190919_155220-scale-1-scale-1.jpg
ngozi
 
Back
Top Bottom