Hiyo nchi pamoja na vikwazo vyote hivyo vya kiuchumi sijawahi kusikia imeteteleka , lakini sisi tupo huru kabisa lakini matatizo ndo yanazidi kuongezeka , kwa kweli mungu atusaidie na sisi tufike huko
Hata namna ya utesaji wa huyo mbongo ni usanii mtupu , mtu anateswa anaonekana kanona kabisa yupo kwenye sofa la maana hapo .. halafu wanampiga kizanzibar hao magaidi wenyewe !! usanii mtupu ,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.