mcomunisti halisi
Senior Member
- Jan 17, 2017
- 103
- 328
Rais wa nchi ya kikomunisti ya watu wa North Korea akiwajulia hali wananchi wake kwa kuwatembelea majumbani kwao na kuwapa zawadi na kujumuika nao katika chakula na maongezi ya hapa na pale.
Nimejaribu kufikiria; hivi hapo home angekutana na CD/DVD's zenye japo cartoon za watoto za Kimarekani wallahi angeagiza kombora lirushwe kutokea huko huko kambi ya jeshi lisambaratishe huo mtaa. Kuliko kutembelewa na huyo "kichaa" ni heri utangulie kuzimu kwa amani maana huyo sio kabisa. By the way, huyu dogo siku hizi ni Marshall? Katajwa sana kama Marshall au mbwembwe tu huyo.
Acha kukarir mambo hiyo njaa umeona wap au na ww ndiyo unasikiliza zaid western media na propaganda zao. Hao jamaa wapo vizur sana ndiyo maana wamefika hapo walipo fika leoNchi ina njaa sababu ya mjinga mjinga mmoja
Rais wa nchi ya kikomunisti ya watu wa North Korea akiwajulia hali wananchi wake kwa kuwatembelea majumbani kwao na kuwapa zawadi na kujumuika nao katika chakula na maongezi ya hapa na pale.
Kumbuka North Korea ni kama mkoa wetu mmoja tu.Hiyo nchi pamoja na vikwazo vyote hivyo vya kiuchumi sijawahi kusikia imeteteleka , lakini sisi tupo huru kabisa lakini matatizo ndo yanazidi kuongezeka , kwa kweli mungu atusaidie na sisi tufike huko
Nchi nzima mtu mmoja tu ana afyaAcha kukarir mambo hiyo njaa umeona wap au na ww ndiyo unasikiliza zaid western media na propaganda zao. Hao jamaa wapo vizur sana ndiyo maana wamefika hapo walipo fika leo
Kumbe hiyo nchi ndogo sana hivyo lakini wanawahenyesha wakubwaKumbuka North Korea ni kama mkoa wetu mmoja tu.
Kila mwaka Korea kusini wana wapelekea Michele. Sasa bajeti yote ikienda kutengeza silaa watalima na meno? Hii dunia ni ubatili mtupuN korea has land area of more than 120,540 sq km na hapa tz mkoa mkubwa ni tabora una land area ya 76000 sq km hivyo hiyo nchi haifanani na mkoa wowote hapa tz pia wanaojua kuwa N Korea kuna njaa ni USA pekee lakini north korea hawajui hiyo kitu hivi ktk akili ya kawaida USA inaweza kuigopa nchi isiyo na chakula? N Korea haipo kwenye level ya Lusaka tonge ni kuishusha hadhi yake yaan idharaulike
Umeongea la maana.. Watu huwa wanaoenda kuongea kistoristori za vijiweni. Kuifananisha N. k na mkoa hapa tz ni ufinyu wa Akili. Wakati data zipo.N korea has land area of more than 120,540 sq km na hapa tz mkoa mkubwa ni tabora una land area ya 76000 sq km hivyo hiyo nchi haifanani na mkoa wowote hapa tz pia wanaojua kuwa N Korea kuna njaa ni USA pekee lakini north korea hawajui hiyo kitu hivi ktk akili ya kawaida USA inaweza kuigopa nchi isiyo na chakula? N Korea haipo kwenye level ya Lusaka tonge ni kuishusha hadhi yake yaan idharaulike