Recent content by suli

  1. S

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) yatoa majina ya wanufaika

    Huu mkopo ni mtamu sana kuupata, ila kuurudisha kwake na kama ndo umeariwa na serikali ni kimbembe sana
  2. S

    DART inatarajia kuongeza mabasi ya Mwendokasi 165

    Unajua sisi maana ya kufanya vile vituo visiwe na Siti za abiria kupumzika ni kuwa haitatokea mtu anakaa kituoni zaidi ya dakika tano anasubiria basi na ndivyo inavyofanyika kwa wenzetu. Sasa huku kwetu mtu unasubiria gari kituoni kwa zaidi ya nusu saa na likija unakuta limejaa pomoni hata pa...
  3. S

    DART inatarajia kuongeza mabasi ya Mwendokasi 165

    Mradi ni mzuri ila una management ya kishamba haijawahi tokea, wakati mwingine huwa najiuliza hawa wanaondesha huu mradi wana akili kweli??? Kwa mfano ukienda kimara au kivukoni mida ya mchana unakutana na lundo la watu waliokwisha lipia nauli zao vituoni wanasubiria basi, cha ajabu ukiangalia...
  4. S

    Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza

    Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

    Kwangu nadhani BancABC wako vizuri zaidi kwa sababu wanakupa kadi maalum ya kufanyia miamala tofauti kabisa na akaunti yako ya kuhifadhia pesa
  6. S

    Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, Dr. Valentino Mokiwa avuliwa uaskofu

    Z.. R. Dh mix m. X. A s oCT Z.. Sy m 's p o blm km z. z =full]456633 Muir zz. [ /ATTACH]
  7. S

    Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, Dr. Valentino Mokiwa avuliwa uaskofu

    K xm, B av zee and other guy [emoji39]. [emoji18] [emoji31] [emoji31] withwithEasyB
  8. S

    Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    Aisee mkuu ni safi sana, nahitaji kuunganishwa ili nijipatie mitiki, na kwa hekari moja miche mingapi yapaswa kupandwa.
  9. S

    Traffic jam imezidi

    Tatizo la dar foleni inasababishwa na madereva wapuuzi wasiojali taa za barabarani kwenye makutano ya barabara. Kwa hiyo mara nyingi inatatikana traffic wawepo ili kuyaongoza magari, kwa hiyo kama hawapo kwa sababu nao wanaogopa mvua ni majanga makubwa kama leo ilivyo
  10. S

    Tusisifie sana shule za private zinafanya vizuri

    Aisee shule nyingi za private zinazofanya vizuri ni kwa sababu ya nidhamu ya hali ya juu ambayo inasimamiwa vizuri. Mtoto anafundishwa namna nzuri ya kutunza muda hivyo anajua ni muda upi wa kufanya kipi. Muda wa kusoma ni kusoma kucheza ni kucheza kusali ni kusali pia . Hakuna loose time hadi...
  11. S

    Pinda alifaa kuwa Waziri wa Mashambani na Si Waziri Mkuu

    huyu mzee ana sura ngumu but ni too soft to be PM
  12. S

    OLAS (HESLB System of Online Application) is a Disaster

    Server za kibongo najua hazina uwezo wa kuaccess watu wengi kwa mara moja lakini sitaki kuamini kuwa hadi usiku wa maneno kuna mlundikano wa watu kwenye hilo server.....! Kuna kitu hakiko sawa na wahusika wamekaa kimya bila kutoa ufafanuzi wowote.
  13. S

    OLAS (HESLB System of Online Application) is a Disaster

    "The server at olas.heslb.go.tz is taking too long to respond. The site could be temporarily unavailable or too busy. Try again in a few moments. If you are unable to load any pages, check your computer's network connection. If your computer or network is protected by a firewall or...
Back
Top Bottom