Hata Korea anauwezo wa kupiga popote pale ndani ya Israel, ivi jiulize kati ya Israel na USA nani ni super power ukipta jibu jiulize why marekani afyata kuishambulia korea
Ndugu huwezi kufananisha nchi inayonunua silaha na inayounda yenyewe silaha, Saudia ni wanunuzi wakubwa wa silaha za USA, lkn Iran inazisha na kuunda kila aina ya Silaha ya kivita
Hata marekani walipoenda kumuua Osama palikuwa ni peupe lkn helikopta yao moja kwa Bahati mbaya bawa moja liligonga ukuta na kusababisha ajali, kumbuka hii aparesheni ilikua silent na cri mno na hapakuwa na purukushani hata ya kurushiw jiwe. Jibu ni kwamba ajali haizuiliki mkuu
Hahahaaa nimekumbuka mbal xn kipind nipo kidato cha pili kuna ticha alikuw anapenda san kunituma kwake kumbe alikua na lake jambo. Cku hio alimtuma Dogo janja (mdogoangu) aniite nimsindikize hospitali majira km saa NNE ucku, c unajuwa kwa mbwinde mida hio ni giza totoro umeme hakuna. Ghafla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.