MELI YA UJASUSI YA URUSI YAZAMA UTURUKI

MELI YA UJASUSI YA URUSI YAZAMA UTURUKI

sawa pale mmarekani walikuwa kwenye operesheni kali na ukizingatia walikuwa kwenye nchi ya watu.

sasa urusi meli ya ujajusi inaenda kugonga meli ya mizigo baharini ambapo ni kweupe na hakuna mtu ambaye alikuwa anafukuzana naye.
huo ni uzembe ulio pitiliza.
Je Russia walikuwa kwenye operesheni gani?

Hivi unajua aliyepo kwenye operesheni na asiyepo huwa na hadhari tofauti. Hiyo ya Urusi ni ajali ya kawaida, usiyokuwa na uzoefu nao utashangaa. Hao wa Helicopter je?

Je Helikopta ya Marekani ilipangwa igonge jengo? Kama haikupangwa basi jua kuna ni wazembe, usisizingizie kingine. Hebu tuletee operesheni mojawapo ya Urusi waliyowahi kufanya kama hilo, ikikosekana tuwahitimishe Marekani namna hiyo uliyowaponda Urusi.

MUHIMU: Huu si ushabiki wa mpira hadi utamke mambo kishabiki, vita haifai. Waulize Babu zako waliyoshuhudia vita vya dunia iliyopiganwa Ulaya ila Afrika ilifika na ikulu ya Dar ikapigwa bomu. Ndipo utajua ikianza hata wewe unayeshabikia hutopona
 
Mwaka 1960 mpelelez wa USA Francis Garry Powers akiwa na Lockheed Spy plane alitunguliwa alipokuwa akifanya Espionage si lazima tuyaseme yote humu ila kwa faida yako INGIA GOOGLE HALAFU ULIZA KATI YA RUSSIA NA USA NANI KADUNGUA NDEGE ZA MWENZIE
 
Warusu wanasema wana rada ya kuona, wameshindwa hata kuona meli nyingine mpaka wakagongana. Wanatoa vidingizio Mara ukungu nini kazi ya rada. Halafu ni meli ya kiviti hiyo inakosa vitu vya muhimu ikagongwa ikazamishwa.
 
sawa pale mmarekani walikuwa kwenye operesheni kali na ukizingatia walikuwa kwenye nchi ya watu.

sasa urusi meli ya ujajusi inaenda kugonga meli ya mizigo baharini ambapo ni kweupe na hakuna mtu ambaye alikuwa anafukuzana naye.
huo ni uzembe ulio pitiliza.
Acha kuwaza kwa kutumia Madabuli, Juzi kuna Ndege ya K8vita ya Marekabi ilizama baharini huko Asia, hata wiki haijaisha, Ajali zipo sana. So Meli ya Mizigo unaidharau?
 
df8808d7f6678909e6140547e51686df.jpg

627c627cce951abb6e2484261f054132.jpg

Cc: mahondaw
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Una radar, una electronics bomb, una EMP... Ina maana hiyo meli Haina communication na externals anytime? si ni ya kijeshi na Wanasema wana tech Za kijeshi zaid ya US. Anyway Ndio mana US upande wa slaha na millitary tech hana show off na hajigambi sana. Najua Ingekuwa US within 2ms hatakama wangekua pacific.
 
Binadamu tumekua watu wa ajabu sana mpaka vita nazo tunaziwekea ushabiki kama mpira.
Utasikia team North Korea, team USA au team Russia
Hii ni dalili mbaya sana duniani nadhani mwisho wa dunia unakaribia.
Maisha yameshakuwa magumu. Watu hawana cha kupoteza wanaomba bora vita itokee tu kila kitu kivurugike hivyo tuanze upya
 
Umeandika kijinga na kiushabiki sana! Tukio la ajali unalihusishaje na uwezo wa kijeshi? Unajua ni ajali ngapi zimetokea kwa vyombo vya kijeshi vya marekani? Unafahamu kwamba wakati askari mahili wa kimarekani wenye ujuzi wa hali ya juu walipotumwa kwenda kumvamia Osama helicopter yao moja ilipata ajali? Hapo wamevamia Nyumba ya mtu....vipi wakiwa wanapambana na Mrusi? Je tuwabeze kwa kuhitimisha kuwa marekani atapigwa na Mrusi?
Acha uvivu katika kutumia akili hata kwa mambo madogo kiasi hiki!
Jibu zuri sana hili....pata pepsi barid hapo mkuu
 
Hii inaweza kuwa mbinu ya kivita ili waichukulie Russia poa ikilipuka vita mtakoma mapigo yake
 
sawa pale mmarekani walikuwa kwenye operesheni kali na ukizingatia walikuwa kwenye nchi ya watu.

sasa urusi meli ya ujajusi inaenda kugonga meli ya mizigo baharini ambapo ni kweupe na hakuna mtu ambaye alikuwa anafukuzana naye.
huo ni uzembe ulio pitiliza.
Hata marekani walipoenda kumuua Osama palikuwa ni peupe lkn helikopta yao moja kwa Bahati mbaya bawa moja liligonga ukuta na kusababisha ajali, kumbuka hii aparesheni ilikua silent na cri mno na hapakuwa na purukushani hata ya kurushiw jiwe. Jibu ni kwamba ajali haizuiliki mkuu
sawa pale mmarekani walikuwa kwenye operesheni kali na ukizingatia walikuwa kwenye nchi ya watu.

sasa urusi meli ya ujajusi inaenda kugonga meli ya mizigo baharini ambapo ni kweupe na hakuna mtu ambaye alikuwa anafukuzana naye.
huo ni uzembe ulio pitiliza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom