uko vizuriNgoja na mimi nafyatua yangu from mwanza to damascus
Acheni kumpa promo mrusi,hana vitu vya maana toka isambaratike.
Yaaaani sjui kama huwa anapata usingizi kweliHivi Assad huwa analala kweli? Huyu jamaa kakomaa
"Mothafanta sitaki Tanzania yetu ya amani iwe fonti fed kweny mamb ya kuvuruga Aman"Not to that extent
Hata Korea anauwezo wa kupiga popote pale ndani ya Israel, ivi jiulize kati ya Israel na USA nani ni super power ukipta jibu jiulize why marekani afyata kuishambulia koreaMkuu Israel wale hawanaga simile wale ukirusha hata baruti ikatua kwenye ardhi yao lazima walipize tena hawachukui hata mda. Half kingine Israel ina kombora linaloweza kufika Pyongyang.
Israel wana kombora linaitwa Jericho III(ICBM) Range yake ni 11,500km. Huku umbali toka Israel had Korea ni 8038km. Hvyo Israel inaweza kupiga popote pale ndani ya North korea.
Kipofu wewe.kwani wewe ukiachana na mke wako na huku ulikuwa na digrii.digrii yako nayo umeachana nayo?Acheni kumpa promo mrusi,hana vitu vya maana toka isambaratike.
Hawa Israel ni kwenye tech ni humbwa sana asikudanganye mtu.. Israel sipawendi ila N.Korea nawapenda ila wakijaribu tu hawa israel wanakinukisha.. N.korea anaweza arushe kombora na lisitue kwenye ardhi ya Israel...Hata Korea anauwezo wa kupiga popote pale ndani ya Israel, ivi jiulize kati ya Israel na USA nani ni super power ukipta jibu jiulize why marekani afyata kuishambulia korea
Jericho III ICBM.Naielewa sana hii kitu.walianza kutengeneza haya makitu 1963,walianza na jericho I.Hii haikuwa ICBM ilikuwa IRBM(Intermediate Range Balistic Missile).Wakaendelea na Jericho II miaka ya 70s,Pia ilikuwa IRBM.Naona 2011 ndo walitoka Jericho III ICBM.Ina uwezo wa kubeba hadi 3 Thermoniclear warhead.Mkuu Israel wale hawanaga simile wale ukirusha hata baruti ikatua kwenye ardhi yao lazima walipize tena hawachukui hata mda. Half kingine Israel ina kombora linaloweza kufika Pyongyang.
Israel wana kombora linaitwa Jericho III(ICBM) Range yake ni 11,500km. Huku umbali toka Israel had Korea ni 8038km. Hvyo Israel inaweza kupiga popote pale ndani ya North korea.
Unaongelea Jericho ipi wewe.maana kina series 3.i,ii na iii.acha uongo jericho linafika km 5000 tu
Afadhali umesema ukweli.Hii Tech NK anayojaribu sasa hivi,Israel alianza toka 1963 alipotest Jericho I ballistic missile.Sasa hivi ana Jericho III imetulia tu.Hawa jama ni nuksi asikwambie mtu.Putin mwenyewe kuna siku alisema,"Kuweni kama Israel,They fight until the End.Do not give up".Hawa Israel ni kwenye tech ni humbwa sana asikudanganye mtu.. Israel sipawendi ila N.Korea nawapenda ila wakijaribu tu hawa israel wanakinukisha.. N.korea anaweza arushe kombora na lisitue kwenye ardhi ya Israel...
Waulize Wapalestina wakwambie mziki wa hawa Israel
Mkuu upo sawa?Ninacho hisi mimi ni wamarekani kuandika vitu vya urusi ili yeye auze siraha kwa majirani wake navurusi
Kwa miaka ya hivi karibuni marekana anafanya atakalo na yupo karibu na waliokuwa sehemubya USSR karibu wote.Mkuu upo sawa?
Israel habari nyingine ileAfadhali umesema ukweli.Hii Tech NK anayojaribu sasa hivi,Israel alianza toka 1963 alipotest Jericho I ballistic missile.Sasa hivi ana Jericho III imetulia tu.Hawa jama ni nuksi asikwambie mtu.Putin mwenyewe kuna siku alisema,"Kuweni kama Israel,They fight until the End.Do not give up".
mbona unatuongopea mkuuKwa miaka ya hivi karibuni marekana anafanya atakalo na yupo karibu na waliokuwa sehemubya USSR karibu wote.