Freema wewe kumbe unadhani afanye nini? Una dalili za kumsapoti mwanamke mwenzio sio?
Kijana achana na mke wa mtu ni dhambi kubwa isitoshe mumewe ni kama mlemavu akijua atalia sana maana hawezi kukufanya chochote na dhambi itakuwa maradufu
Jamani kwani kuna nini tena? Mi niliwahi kufanya kazi pale Bonite Botllers Moshi kwenye kampuni ya soda za Cocacola ya huyu mzee hapakuwa na matatizo yoyote wafanyakazi wote walikuwa happy.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.