Ni kikongwe lakini!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kikongwe lakini!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by SUPERUSER, Sep 2, 2011.

 1. SUPERUSER

  SUPERUSER JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 45
  Je akikwabia utoke nae utakubali? Wewe kama kijana rijali
   
 2. Lutter

  Lutter Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: Dec 23, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  Duh, Sipati picha enzi za ujana wake!
   
 3. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,675
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Si wanasema ng'ombe hazeeki maini.....biashara shurti uitangaze bana si unaona hata chupi hajavaa huyo..
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,317
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa biashara ni matangazo.
   
 5. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,291
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  usishangae kama alikuja mjini mwaka mmoja uliopita,
  anafanya haya mambo uzeeni kwa kuwa ujanani hakuyafanya.............
   
 6. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Unamkokeaga moto mpaka umuite kikongwe?
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,966
  Likes Received: 6,515
  Trophy Points: 280
  hahahahaaaaaa, jamani acheni utani ajamani, yaani hii comment nimecheka hadi basi ila noana tunakooenda tutawatamani hata wazazi na dada zetu sasa, hivi kweli akiwa na dada yako ahalafu ndio mzigo kama huo utafanyeje? kila siku utaishia kugombana nae tu
   
 8. s

  suleimans Member

  #8
  Sep 2, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ila kweli amekula chumvi nyingi angewaachia mambo hayo ya matangazo wakina Lulu
   
 9. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Nathani huwafaham vikongwe mkuu pole sana
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,677
  Likes Received: 2,765
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,307
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nimebakia mdomo wazi
   
 12. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Umri umeshamtupa mkono bi mkubwa
   
 13. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  nivizuri ukaufumba kabisa Dada kwani huyo ni shemail na kwa tarifa yako shi hezi goti willi
   
 14. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,835
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mjini pakubwa na pana mambo mengi,
  Kuna watu watahamia!!!
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Anatamani angekuwa na uwezo wa kurudisha miaka nyuma. Ndio hivyo game is over.
   
 16. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 10,466
  Likes Received: 1,573
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  ALIVYO NONA HIVYO YAANI ME SIACHI KITU,
   
 17. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
 18. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,398
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Sasa katika umri kama huo...either anamtega mume wa mtu au kijana mdogo zaidi yake!
   
 19. deadteja

  deadteja JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 368
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  &lt;br /&gt;
  &lt;br /&gt;
  Hata kama kabahatisha kufika sixty, kwani ndo kusema mnato umekwisha? Kwa figger kama hiyo wanakuwa mnato kinoma kuliko hata vigoli vimbaumbau! Japo niko 25, akiniambia twenze2, mm naenda na naanguka naye, hasa ukichukulia Rama ndo ishapita!!
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  jf imeanza kuwa kama zeutamu siku watu wakipost ile ya mtoto aliyezaliwa bila kichwa akawekewa nazi alipokuwa mkubwa akawa rais lazima ifungwe.

  Amyner na yako ipo kimtegotego unamdomo mzuri sifa nisikunyime
   
Loading...