mafunzo ya jkt na ya mgambo yakoje utafauti? ikiwa we mwenyewe sheria haisemi kule unapokwenda kujitolea sio kama utapewa ajira hapana ata form za jkt hazina sehemu ya kusema kama ukimaliza mafunzo ni kwamba eti utaajiriwa sio kweli alafu kuhusu mafunzo wote tunapewa na jwtz sasa tafauti iko wapi?
Hivi kwanini Serikali huwa wanapotezea sana askari mgambo katika upatikanaji wa ajira serikalini?
Unakuta kijana amefanya mafunzo ya mgambo tena kwa uzalendo wake kabisa lakini ajira zinapotoka za vyombo vya ulinzi wanawapatia vijana wa JKT tu lakini waliopitia mafunzo ya mgambo huwa hata...
Tuchki, Nakushauri kama unafanya kazi karibu basi jitahidi uombe uhamisho uwe nae mbali uyo jamaa na ulivyosema eti ni handsome sasa hapo unatarajia nini ebu fanya omba uhamisho wakupeleke kwenye kituo cha kazi kingine
kwani unafikiri uyo mchina anatoa msaada kwa nchi ya kenya bure ebu angalia zambia sasahivi airport yao na shirika la umeme la kwao linamilikiwa na serikali ya china
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.