Mtaacha lini kutumika , mnalipwa nini kukaa kusema uongo siku nzima? Angalieni Mungu anawaona . Mbona taarifa sahihi zipo , Watalii wakiingia nchini wanataja dhumuni la kuingia nchini na linawekwa kwenye rekodi .
Ni uzishi huu , Benki kuu ndiyo itakuwa inaingiza Fedha za watumishi kwenda mabenki mengine yanayotumiwa na Taasisi sasa mtu unakuja na hadithi zako za kutunga hapa.
wewe ni muongo na kama hujui kitu nyamaza migodi hii imenza uzalishaji miaka ya 2004 hao unawataja walikuwepo madakani huna data usiongee please mikataba hii ni ya miaka ya 90 huko usichume dhambi .
Hawajazungumzia makinikia ya Copper bali imezungumzia makinikia ya dhahabu kwenye ripoti zao , sasa kwenye makinikia wanatoa dhahabu, shaba, zinc , platnum, silver, Fe na madini mengine
Onyx hajui lolote anazungumza porojo tu atofautishe makinikia ya dhahabu na copper ndio atapata jibu.Kwenye dhahabu kuna copper Sulphide(Chlcopyrite) ambayo imechanganyika na dhahabu , sasa ndiyo technology inatumika kutenganisha ili upate dhabu peke yake na copper na elements zingine peke yake.
Hivi huyu Kafumu si ndiye aliyetengeneza Mikataba mibovu na nchi mpaka leo inaendelea kulia maumivu?. Pia hivi ni kila mgodi uliruhusiwa kupeleka Concerntrate(Makinikia) zake nje?. Nilichosikia ni Mgodi wa Buzwagi pekee ndio uliopewa kibali cha kusafirisha makinikia nje lakini hawa jamaa...
Unasema watu wa sasa sio kama watu wa zamani ndio maana mmenunuliwa na watu wa madawa ya kulevya ili muangamize taifa . Watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana kushabikia hata maovu, angalieni Mungu anatuona.
Hivi kudhalilisha bunge na kutetea wauza unga lipi ni kosa kubwa tuache siasa tunaliangamiza Taifa kwa kuendekeza siasa.Hivi wabunge wana watoto kweli , wanajua madhara ya dawa za kulevya kweli. , sawa na Mungu anawaona adhabu ataitoa kwa watoto wenu baada ya kufurahia maangamizi wayapatayo...
Nawashamgaa sana mmegeuza jamii forum kama sehemu ya ofisi za serikali kuja kumwaga taarifa za serkali. sasa mkiadhibiwa mtasema serikali imewaonea . Subirini muone .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.