Kuna mtanzania maalamu wa migodini anafanyakazi Canada anaitwa Dr.Joash Kabete huyu jamaa ndio wazungu wanamtegemea kuwaambia wachimbe vipi na wapi dhahabu duniani, mara ya mwisho alikuwa akifanya kazi kama Rais wa utafiti na uwekezaji wa anglo America. Huyo atakushauri vizuri sana hawa wengine njaa tu watakuzingua hata ukiwaambia wachimbe kokoto hawawezi.
kwa mbali unaweza mtumia mzee mmoja anaitwa Rweyemamu nimefanyanae kazi Zambia na Urusi ni mzuri sana kwenye masuala ya migodi anaweza kukushauri vyema pia. Pia yupo profesa mmoja yuko Swiden ni mshauri wa kiwanda cha aluminium cha Volvo Kikwete anamfahamu waliwahi kukutana Sweden kwenye kongamano. Wengine baba ni pasua kichwa umeona pale bandarini kila mtu anaongea lwake wanajifanya hawana habari na mchanga wakati nyaraka zina sahihi zao na makontena yana nakiri zao.