Tanzania ni nchi pekee inayopika data za idadi ya watalii

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,045
114,509
Idadi ya watalii wanaoingia nchini inapatikanaje? Hili swali ambalo wengi huwa hatujiulizi tunapozungumzia utalii na idadi ya watalii. Kila mtu anayeingia kwenye mpaka wa tanzania na kujaza fomu ya uhamiaji ( entry form ) anaingizwa kwenye kanzidata ya watalii.

Wale wanaokwenda kwenye hifadhi za taifa pia wanaweza kuhesabiwa zaidi ya mara moja. Mfano unapoingia Tarangire unahesabiwa. Ukienda Manyara unahesabiwa pia. Ukienda Serengeti unahesabiwa tena. Ukimalizia Gombe National Park unahesabiwa tena.

Nadhani Nchi inahitaji namna mpya ya kuhesabu watalii wanaoingia nchini ili kuwa na takwimu za uhakika.
 
Hebu tupe data kamili? Unazo au unapiga sound?
 
Suluhisho la hili tatizo ni rahisi tu. Wahusika wa plot graph za idadi ya watalii na mapato ya hifadhi au sekta ya ujumla.

Mwaka kwa mwaka.
 
Idadi ya watalii wanaoingia nchini inapatikanaje? Hili swali ambalo wengi huwa hatujiulizi tunapozungumzia utalii na idadi ya watalii. Kila mtu anayeingia kwenye mpaka wa tanzania na kujaza fomu ya uhamiaji ( entry form ) anaingizwa kwenye kanzidata ya watalii.

Wale wanaokwenda kwenye hifadhi za taifa pia wanaweza kuhesabiwa zaidi ya mara moja. Mfano unapoingia Tarangire unahesabiwa. Ukienda Manyara unahesabiwa pia. Ukienda Serengeti unahesabiwa tena. Ukimalizia Gombe National Park unahesabiwa tena.

Nadhani Nchi inahitaji namna mpya ya kuhesabu watalii wanaoingia nchini ili kuwa na takwimu za uhakika.

Wawasiliane na mawakala wa utalii kujua kila mmoja ameingiza watalii wangapi kwa mwaka
 
ACHA BANGI KIJANA.....sasa wanapotembelea hizo mbuga toka moja hadi nyingne WANATEMBELEA BURE????????kama ndivyo wanavyofanya kama usemavyo sioni tatzo iwapo tu huyo mtalii mmoja akitoka SERENGETI na kuja MIKUMI akilipa gharama ya utalii kwenye hizo mbuga........EBU ACHENI KUTUMIKA KIBANGI BANGI
 
Idadi ya watalii wanaoingia nchini inapatikanaje? Hili swali ambalo wengi huwa hatujiulizi tunapozungumzia utalii na idadi ya watalii. Kila mtu anayeingia kwenye mpaka wa tanzania na kujaza fomu ya uhamiaji ( entry form ) anaingizwa kwenye kanzidata ya watalii.

Wale wanaokwenda kwenye hifadhi za taifa pia wanaweza kuhesabiwa zaidi ya mara moja. Mfano unapoingia Tarangire unahesabiwa. Ukienda Manyara unahesabiwa pia. Ukienda Serengeti unahesabiwa tena. Ukimalizia Gombe National Park unahesabiwa tena.

Nadhani Nchi inahitaji namna mpya ya kuhesabu watalii wanaoingia nchini ili kuwa na takwimu za uhakika.

Kinachotakiwa kufanyika au kinachofanyika ni kuweka DATA za watalii kwa kila hifadhi,kwa maana kwamba kuna income imekuwa contributed na watalii walioingia.

Mathalani unasema Serengeti imepata kiasi cha bilioni 200,basi ni wageni wangapi waliingia Serengeti,hivyo kwa maeneo yote.Kila hifadhi itamuhesabu aliyeingia kama mgeni wake pale hivyo wako sahihi.

Unless ukishalipa mara moja hukukwingine unaingia bure/ni fees zile zile then kuna kuwa hakuna sababu ya kudoble count number za watalii wanaoingia kwenye Mbuga za wanyama
 
Data Tanzania ni shida sana sana. E government wanahitaji kufanya kazi kubwa kuweza kuunganisha data za Taifa.
 
Idadi ya watalii wanaoingia nchini inapatikanaje? Hili swali ambalo wengi huwa hatujiulizi tunapozungumzia utalii na idadi ya watalii. Kila mtu anayeingia kwenye mpaka wa tanzania na kujaza fomu ya uhamiaji ( entry form ) anaingizwa kwenye kanzidata ya watalii.

Wale wanaokwenda kwenye hifadhi za taifa pia wanaweza kuhesabiwa zaidi ya mara moja. Mfano unapoingia Tarangire unahesabiwa. Ukienda Manyara unahesabiwa pia. Ukienda Serengeti unahesabiwa tena. Ukimalizia Gombe National Park unahesabiwa tena.

Nadhani Nchi inahitaji namna mpya ya kuhesabu watalii wanaoingia nchini ili kuwa na takwimu za uhakika.
Mtaacha lini kutumika , mnalipwa nini kukaa kusema uongo siku nzima? Angalieni Mungu anawaona . Mbona taarifa sahihi zipo , Watalii wakiingia nchini wanataja dhumuni la kuingia nchini na linawekwa kwenye rekodi .
 
Back
Top Bottom