Recent content by Subconscious

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali ya JMT kwa juhudi na hatua wanazochukua kwenye kukabiliana na ugonjwa huu wa Covid-19. Mchango wangu kwa leo utaangazia sekta ya elimu. Kutokana na kuwa wanafunzi walirudishwa nyumbani ikiwa ni hatua ya kuzuia au kupunguza maambukiki ya ugonjwa huu. Na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Karibuni Open university of Tanzania

    je kuna degree ambazo hazijaorodheshwa kwenye website lakini unaweza kusoma?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Karibuni Open university of Tanzania

    mkuu nimeangalia kwenye website yao hakuna psychology kwa undergraduate
  4. S

    JamiiForums Tanzania Gari ipi ni ni itanifaa kwa maoni yako?

    Madam Op... yupo?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Gari ipi ni ni itanifaa kwa maoni yako?

    we Alonga acha ujinga wako
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba laptop moja kama aitumii

    bei gani mkuu?
  7. S

    JamiiForums Tanzania UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

    Kuna jamaa yangu jana kanunua Noah mpya, pesa kaipata kupitia currency trading.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuitwa 'wanyonge' ndio silaha hatari wanayoitumia viongozi ili wananchi wasitoke nje ya boksi

    Ukitaka mgonjwa asipone mapema ni kumwambia kila mara kuwa yeye ni mgonjwa. Ni sawa na kutaka kumkwamua mnyonge kwa kumuita na kumuaminisha kuwa yeye ni mnyonge pale atakaposhindwa kujikwamua ni Dhahiri ataendelea kwa kuwa ataamini unyonge ndio uhalisi wake Ninaposema viongozi hawatakiwi watumie...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuitwa 'wanyonge' ndio silaha hatari wanayoitumia viongozi ili wananchi wasitoke nje ya boksi

    kuukataa unyonge ni kutowapa mamlaka wanaotudhalilisha kwa kauli za kitumwa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuitwa 'wanyonge' ndio silaha hatari wanayoitumia viongozi ili wananchi wasitoke nje ya boksi

    umesoma au kichwa chako kimejaa maji taka?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuitwa 'wanyonge' ndio silaha hatari wanayoitumia viongozi ili wananchi wasitoke nje ya boksi

    NB: Kuna msemo husemwa 'mnyonge mnyongeni haki yake mpeni' sasa mnyonge ukishamnyonga haki yake ataipata vipi wakati tayari ushamnyonga?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kuitwa 'wanyonge' ndio silaha hatari wanayoitumia viongozi ili wananchi wasitoke nje ya boksi

    Heri ya pasaka kwa wote waamini na wasioamini. Moja ya kauli ambayo inaendelea kumuweka mwananchi katika box la ujinga, utumwa, utegemezi na umasikini ni kauli ya kuitwa wanyonge. Mara nyingi tunawasikia viongozi wakijinasibu kuwa wao ni viongozi wa wanyonge, kiukweli huwa nashindwa kuelewa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tufungulie 'Baraba' lakini mwondoshe 'huyu'

    watu wanaposema pesa ni mbaya, ni wazi hawajui wanachokiongea
Back
Top Bottom