Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,276
Environment study wanatoaKaribu
Environment study wanatoaKaribu
mkuu vipi kuhusiana na foundation ni jumla ya course ngapi kwa mwaka?Umechemka wewe ndugu yangu, vijana hamfuatilii utaratibu vizuri au kufikia watu sahihi wa taarifa kusuhu taaluma husika alafu nikwambie tu kijana kwa wanaochukua foundation pia hawako serious sana kujituma kusoma wanafeli wengi sana na kudrop out. Vijana wa leo tusome na kuwa serious maisha sio simple kama unavyoongelea ubovu wa system ya elimu hivyo!!
mkuu nimeangalia kwenye website yao hakuna psychology kwa undergraduateNdio
je kuna degree ambazo hazijaorodheshwa kwenye website lakini unaweza kusoma?Ndio
View attachment PROSPECTUS-2018-2019.pdfje kuna degree ambazo hazijaorodheshwa kwenye website lakini unaweza kusoma?
Hivi matokeo lini?Kama una sifa za loan board wapata mkopo kuanzia degree ya kw2anza mpaka uzamivu wapata
Hivi mkuu vipi ni rahisi kupiga mwaka au semester moja open.... Then ukahamia chuo kingine cha kawaida tofaut na open... Na ukapokelewa vizuur
matokeo rafiki nafikiri bado. maana wakishasahihisha kuna kuhakiki ndani ya idara na vitivo na baadaye watahini wa nje ndio sasa yapelekwe hurufgenzi ya mitihani ku upload na kupublish ila hautafika mwisho wa mwezi huu. iliwale walikamatwa waweze kufanya ODEX. Vuta subiraHivi matokeo lini?
Poa mkuu nasbiriamatokeo rafiki nafikiri bado. maana wakishasahihisha kuna kuhakiki ndani ya idara na vitivo na baadaye watahini wa nje ndio sasa yapelekwe hurufgenzi ya mitihani ku upload na kupublish ila hautafika mwisho wa mwezi huu. iliwale walikamatwa waweze kufanya ODEX. Vuta subira
MKUU
Maarifa , NAOMBA USHAURI ..."HIVI WALE WA FOUNDATION COURSE WALIO KAMATWA KWENYE BAADHI YA MASOMO ,WATAKAPOFANYA PEPA LA MWEZI WA NANE ,JE WANAWEZA APPLY HATA KWENY ROUND YA MWISHO YA TATU , AU HAPO HAPO THEN WATAOMBA TRANSFER MWEZI WA 11 ,AU?
YES, inawezekana kabisa. maana matokeo ya mwezi wa 8 huwa in two weeks yametokaMKUU
Maarifa , NAOMBA USHAURI ..."HIVI WALE WA FOUNDATION COURSE WALIO KAMATWA KWENYE BAADHI YA MASOMO ,WATAKAPOFANYA PEPA LA MWEZI WA NANE ,JE WANAWEZA APPLY HATA KWENY ROUND YA MWISHO YA TATU , AU HAPO HAPO THEN WATAOMBA TRANSFER MWEZI WA 11 ,AU?
OKAY BOYYES, inawezekana kabisa. maana matokeo ya mwezi wa 8 huwa in two weeks yametoka