Recent content by SUASO

  1. SUASO

    Uzi wa Rikiboy wa kula kimasihara ulivyoniponza

    Kijana nenda kwenye ule Uzi andika haya!
  2. SUASO

    Dark days 17/03/20

    Kunywa maji moyo uelee,
  3. SUASO

    Dark days 17/03/20

    [emoji16][emoji16] ujinga ulioenda shule,.... Hakuna code Wala Unicode hapa Ni kikundi fulani Cha watu wamekaa na kuandaa hili bandiko, Kwa ufupi Ni kundi liliokuwa nyuma ya legacy ya jiwe,
  4. SUASO

    Siku ya Demokrasia Duniani (2021): Rais Samia azungumza na Wanawake wa Tanzania, jijini Dar es Salaam

    [emoji16][emoji16][emoji16] aibu hii aiseee, badala ya kujadili Mambo ya msingi kuhusu demokrasia wao wanaleta hadithi za mende kaangusha kabati
  5. SUASO

    Siku ya Demokrasia Duniani (2021): Rais Samia azungumza na Wanawake wa Tanzania, jijini Dar es Salaam

    [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] tupu, yaani hata wanaomsikiliza huyo mama naona kichwani hsmnazo, Hivi inakuaje siku ya demonrasia unaenda kuzungumza na wanawake,...? Siku ya wanawake alikuwa wapi?
  6. SUASO

    Tusiotaka Katiba Mpya tukutane hapa

    Sijaona hoja yoyote umeweka kukataa Katiba Mpya CCM hawataki katiba mpya maana wanaona itaweka rehani maslahi Yao, itapunguza nguvu ya Rais kuingilia mihimili mingine, itawaweka kando na wizi wa kura maana ndani yake Tume huru ya uchaguzi itakuwepo Katiba mpya muhimu sanaaa ili kusaidia...
  7. SUASO

    Kuna anayemuelewa Mtangazaji Maulid Kitenge na 'Interview' yake EFM akiwa na Gerald Hando?

    Ni upuuzi sana mkuu, hii hulka imeharibu Sana watu hata wenyewe TISS maana wanajiona watu special Sana japo wengi kwa Sasa mbumbu Ni wengi kuliko uhalisia
  8. SUASO

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Mkuu huku Jf wengine wanaburudisha tu
  9. SUASO

    Napambana na COVID-19 deadly Delta

    Polee Sana mkuu, jitahidi kwenda hospital ili kuchek vizuri Hali ya mapafu, oxygen levels, ili uwahi mapema Kabla Hali haijawa mbaya zaidi
  10. SUASO

    Nini kazi za waliosoma Bachelor of Environmental Science?

    Ni kweli Kabisa, Pale SUA wao wanatoa miaka mitatu na Ina deals Sana biological issues concerned in Environment, Lakini kule Ardhi wao wanatoa miaka minne na wanadeals Sana na physical issues concerned in Environment, SUA wao coarse zao nyingi zinajikita ktk biology mfano environmental...
Back
Top Bottom