Nimeona takwimu matumizi ya sigara umemuuliza muuzaji wa sigara! kwa nini hakumuuliza mvutaji wa sigarabkwa ajili ya kupata uhakika zaidi wa matumizi. Binafsi nilikuwa ninavuta sigara ila wingi wa uvutaji wangu ulitegeme sana mazingira .
Nikiwa nipo kawaida tena Dar Es Salaama , ilikuwa...
Mara ya kwanza nilihonga 350,000/- cash na simu ya Infinix by that time niliinunua 290,000/- . Then kwa mwingine nilikuja kuhonga kiwanja cha 3,500,000/- kiroho safi ila hawa wote tulishaachana .
Funga kazi kwa huyu aliyenitunuku moyo wake nakukubali kuukimbia ujana wake kwa ajili yangu , yeye...
Nadhani wakitangaza zabuni TICTS wasipofanyiwa figisu watachukua . Utendaji wao ni wa kutukuka kabisa. Ingawa mapungufu hayakosekani ila sio kama upande wa TPA.
Mkuu , upande wa TICTS wanafanya kazi very professional sio kama huku kwa wazaramo TPA. Swala la mapato ndio wanatakiwa waangalie kwa ukaribu zaidi mifumo ya TICTS imekaa vizuri kuliko TPA . Wabadilishe tu mifumo yao ya malipo inaleta lope hole za watu kupiga pesa. Ndio maana wanapaita shamba la...
Kwa hiyo wewe unataka uaminishwe ndio ukubali kwamba Sabaya alikuwa jambazi?
Sabaya amepelekwa mahakamani ili kuthubitisha uhalali wa uhalifu wake, hiyo kamati ya maadili ya CCM sio mahakama kusema kuwa wangemkuta na hatia ya ukosefu wa maadili angehukumiwa kifungo.
Hivyo kama ulikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.