Muigizaji Sophia Kanumba yuko anasoma Form 5 Nchini Australia

wasanii wa bongo kusema uongo ndio wanaona usanii..Huyu dada majuzi tu alikuwa anaombaomba hela watu kwenye mitandao
 
Wakuu Habari ya Asubuhi na Poleni na Hekaheka za Ashura Wa Tabata.

Niko Nasikiliza Ufm Radio ya Azam Media, Anahojiwa Msanii Wa Maigizo Anaitwa Sophia Kanumba.

Binti Huyo Anadai aonekani Nchini Kwa Sababu Yuko Nchini Australia anasoma Kidato Cha 5.

Namskia Hapa Hata lafudhi yake imebadilika anaongea kiswahili Cha kizungu na pia anaongea kiswahili Huku anachanganya na kingereza.

Tumtakie Binti Sophia Kanumba masomo mema Huko Australia wakuu
Yuko huko kitambo sana tangu chekechea
 
wasanii wa bongo kusema uongo ndio wanaona usanii..Huyu dada majuzi tu alikuwa anaombaomba hela watu kwenye mitandao
Acha urongo mkuu otherwise unamiksi madesa hapa, huyo mtoto kwao mambo safi, na anaishi Australia kitambo tu, huko kuomba hela kwenye mitandao kamuomba nani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom