Recent content by Strong Side

  1. Strong Side

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkuu wa majeshi hutokea JWTZ pekee?

    🤣🤣🤣🤣
  2. Strong Side

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba agoma kumuozesha mwane kwa mahari ya laki tatu kisa ana degree

    Sawa mkuu hapo nimekuelewa swali lako
  3. Strong Side

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba agoma kumuozesha mwane kwa mahari ya laki tatu kisa ana degree

    Laki tano ni kubwa au ndogo?
  4. Strong Side

    JamiiForums Tanzania P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!

    😅
  5. Strong Side

    JamiiForums Tanzania Uhasama wa Everton na Liverpool ulianzia hapa

    Mkuu naomba unicheki pm kidogo ninashida na namba zako kuhusu yale mambo yetu ya biashara
  6. Strong Side

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya kike spesho

    Mkuu hii huduma bado inapatikana? naomba namba zako pm tafadhali
  7. Strong Side

    JamiiForums Tanzania Natafuta chimbo la chupi na kadeti

    Weka namba yako tuongee mkuu hiyo anapokea mtu back kabisa
  8. Strong Side

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye uzoefu wa friji kati ya BOSS na Mr UK

    Update:[emoji116] Nilifanikiwa kununua friji la BOSS lita 145. Friji ipo njema sanaaaa sijutii kulinunua. Asanteni pia kwa ushauri wenu nyote mliohusika kunipa ushauri mbalimbali [emoji120]
  9. Strong Side

    JamiiForums Tanzania Huwa unasafirisha vipi mzigo wako kutoka Kariakoo kwenda mikoani kwa urahisi na nafuu?

    Hawa wanapatikana sehemu gani mkuu na je unaweza nisaidia mawasiliano yao
  10. Strong Side

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya gharama kati ya CRDB vs NMB

    Naomba kufahamu gharama za kutoa pesa kwa kutumia VISA Card Yaani mfano unae card ya CRDB unaenda kutoa pesa NMB au NBC n.k hapo gharama zikoje wajuzi?
  11. Strong Side

    JamiiForums Tanzania Huwa unasafirisha vipi mzigo wako kutoka Kariakoo kwenda mikoani kwa urahisi na nafuu?

    Wazoefu na Kariakoo tupeni ujuzi wenu mnaotumia kusafirisha mizigo yenu mbalimbali baada ya kuinunua na kuhitaji kuisafirisha kwenda mikoani kwa njia rahisi na nafuu. Asanteni
  12. Strong Side

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kufanya kazi na Mzungu hiki ndicho nlikibaini kutoka kwao

    Wazungu ni kutoka USA, KANADA na UINGEREZA ndio hawana roho mbaya. Hao wengine hamna kitu
Back
Top Bottom