Kwanini Mkuu wa majeshi hutokea JWTZ pekee?

Kwanini Mkuu wa majeshi hutokea JWTZ pekee?

Jeshi ni Moja mtaalam JW Lina kamaindi tatu Anga, Maji na Ardhi Kupitia izo kamaindi yoyote anaweza kuwa Picked kama CDF,

Lakini Police, Fire, Magereza, hizo ni paramilitaries
 
Jeshi ni Moja mtaalam JW Lina kamaindi tatu Anga, Maji na Ardhi Kupitia izo kamaindi yoyote anaweza kuwa Picked kama CDF,

Lakini Police, Fire, Magereza, hizo ni paramilitaries
Hata hivyo vyombo unavyosema ni paramilitary sio paramilitary. Paramilitary ni chombo chenye kuweza kufanya kazi za Kijeshi na kiraia(kipolisi) lakini sio Jeshi kamili. Ili chombo kiwe paramiliry ni lazima kiwe na mafunzo ya kijeshi, muundo wa kijeshi na matumizi ya zana za kivita.
 
Habari.

Kuna kitu huwa najiuliza sipati maybe ni cha kawaida kwenu ila naomba leo mnijuze.

Kwanini mkuu wa majeshi mara zote huwa anatoka JWTZ. Kwanini asitoke jeshi la polisi au jeshi la uhamiaji? Hii imekaaje kaaje?

Kuna wakati fulani kipinidi cha hayati Raisi Magufuli. Mkurugenzi wa Usalama wa taifa alichaguliwa kutoka jeshi la polisi. Sasa kwenye huu ukuu wa majeshi mbona huwa anatokea sehemu moja tu?

La pili naomba kujua. Je, Mkuu wa majeshi ni mkuu wa majeshi yote yaani polisi, uhamiaji, magereza, tiss na fire au anakuwa mkuu wa majeshi fulani pekee?

Mwenye kujua naomba anijuze tafadhali
Jeshi ni moja tu nchi hii Tpdf, the rest ni law enforcements ambazo ni zina majukumu tofauti kabisa

Technicaly polisi sio jeshi, uhamiaji sio jeshi na wengine
Ni paramilitary organizations
 
Tanzania ina Jeshi moja tu ambalo ni JWTZ na ndani yake kuna Majeshi makuu matatu ambayo ni Land Force, Navy Force na Air Force na kila Jeshi lina mkuu wake. Mkuu wa Majeshi ni mkuu wa Majeshi hayo yote.

Jeshi kwa kizungu huitwa Military. Military ni neno linalojumuisha Land force, Navy force na Air force na mkuu wake huitwa Military Chief au mkuu wa Majeshi.
Zinaitwa command si majeshi separate. And officialy wanaita navy command, airforce command, land command si force
 
Habari.

Kuna kitu huwa najiuliza sipati maybe ni cha kawaida kwenu ila naomba leo mnijuze.

Kwanini mkuu wa majeshi mara zote huwa anatoka JWTZ. Kwanini asitoke jeshi la polisi au jeshi la uhamiaji? Hii imekaaje kaaje?

Kuna wakati fulani kipinidi cha hayati Raisi Magufuli. Mkurugenzi wa Usalama wa taifa alichaguliwa kutoka jeshi la polisi. Sasa kwenye huu ukuu wa majeshi mbona huwa anatokea sehemu moja tu?

La pili naomba kujua. Je, Mkuu wa majeshi ni mkuu wa majeshi yote yaani polisi, uhamiaji, magereza, tiss na fire au anakuwa mkuu wa majeshi fulani pekee?

Mwenye kujua naomba anijuze tafadhali

Mbona iko wazi tu; Ukipitia kazi za hayo majeshi utapata majibu...
Nionavyo pia; JWTZ ni dominant...
 
Badala ya kutoa elimu tunaansq kurumbana hamjui kuwa huu Uzi Kuna wakuu zetu watakuja kusoma
 
Duniani kote hakuna jeshi la polisi,magereza au zimamoto.
Ni bongo tu wanaforce mpk antpoaching kuitwa jeshi la kupambana na majangiri.
Sinema zetu,hakika ni za kwetu.
 
Inaweza kuwa mambo ya copy na paste toka nchi za watu zenye majeshi mbalimbali. Tanzania jeshi ni moja lililoundwa kwa sheria moja. Hata JKT iliyokuwa na sheria yake ilihamishwa kwa marekebisho ya sheria kuwa kamandi ya JWTZ. Kwahiyo cheo cha 'mkuu wa majeshi' kinakosa maana. CDF ni mkuu wa jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania. Liko moja tu.

Nchi kama marekani kuna 'majeshi' kadhaa. Mfano US Army, US Air force, US marines, US Navy, Cost guard, US Space force na National Guard. Kila jeshi limeanzishwa kwa sheria yake na lina recruit kwa utaratibu wake. Hata mafunzo ya awali kila mmoja anafanya kivyake. Kile jeshi la US lina mkuu wake na mmoja wa hao 'wakuu' anateuliwa kuwa 'mkuu wa majeshi' wao wanamwita Chairman of the Joint Chiefs of Staff.
 
Ulishawahi sikia polisi, magereza au usalama wamepindua nchi yoyote duniani?
Kama jibu ni hapana, basi mkuu wa majeshi hawezi tokea police wala magereza.

Jeshi ni moja tu, na mkuu wa majeshi lazima awe mjeshi tokea kamandi yoyote isipokuwa mgambo fc.
Sasa mbona nchi fulani, Hao wajeshi wanapelekeshwa na police?.
Wanachanganya waja. Lol
 
Back
Top Bottom